Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Msaada tafadhali, Mwenye ufahamu juu ya pishi hili la custard pudding! sifahamu Kiswahili chake lakini ni kama uji fulani hivi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cannelloni pamoja na nyama ya kusaga Viungo: 1/2 kikombe maziwa - kikombe nyeupe unga - 3 mayai - 2 tbsp siagi - chumvi -pilipili -kitoweo Kwa stuffing: gramu 400 nyama ya kusaga au jibini au...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Nitapata wapi chuo cha upishi international nikiwa Dar-es salaam Msaada please!
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Mahitaji maziwa, mayai, sukari kidogo, hiriki. Utayarishaji wake, pasua mayai kutokana na size ya chakula unachotaka kupika, yakoroge hadi yachanganyike vizuri, kisha anza kuchemsha...
2 Reactions
10 Replies
11K Views
80g siagi isiyo ya chumvi 180g sukari ya kusaga) 2 mayai 220g unga 1 tsp baking powder 1/2 tsp bicarbonate soda 1/2 tsp salt 1 tsp vanilla 1 kikombe cha maziwa lala (yoghurt au sour cream) Oreo...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Naombeni mnielekeze mapishi ya mihogo ilokauswa (makopa). Nakumbuka nilishawahi kula hiki chakula nikiwa mdogo ni kitamu sana na nitamani nipike tena. Nitashukuru sana kwa...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wadau wa mapishi. Naomba mnisaidie jinsi ya kuweza kuandaa siagi ya karanga.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu, Nahitaji kununua hili jiko kwa aliyewahi tumia hili jiko. Tathmini nzima ya uendeshaji. Mafuta yao kwa mwezi ni Lita ngapi yanacost endapo kila siku mnapka Chakula cha wawili. Any side...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HELOW Jf family..Hi! -Anaejua jinsi ya kupika kisamvu kama wanachopikaga Wapopo mixing samaki nyama na mengineyo,please msaada. -Pia anaejua kupika supu ya kipopo ile ya Mbuzi yenye ngozi...
1 Reactions
22 Replies
8K Views
Wakuu, pork ni miongoni mwa nyama zinazopendwa sana hapa Tanzania, lakini maandalizi yake yanawapa tabu watu wengi na hivyo kupelekea wengi kuifuata katika Bar au sehem zingine wanazochoma...
11 Reactions
55 Replies
47K Views
Habari wakuu. Nataka nifanye ubunifu wa kutengeneza majiko ya plate na kukaangia chips ambayo yanabana matumizi. Lakini kabla ya hayo nataka nijue kati ya Gesi na Mkaa katika matumizi ni ipi...
0 Reactions
44 Replies
16K Views
Najua wengi tunapika na wengi tunajua kupika. Leo nimeona ni vema nikupe tip juu ya Tangawizi na Vitunguu Swaumu, kwani mbali na viungo hivi kuwa na virutubisho muhimu sana katika miili yetu pia...
9 Reactions
11 Replies
10K Views
Mahitaji 1)mchele kg 1 2)vitunguu maji 5 vikubwa 3)vitunguu thomu 2 ukubwa kiasi 4)nyama/kuku 5)tangawizi kiasi 6)chumvi kiasi 7)uzile wa unga 8)mafuta robo kikombe 9)zabibu kavu kiasi Namna ya...
8 Reactions
71 Replies
13K Views
Naomba kuelekezwa namna ya kuandaa kababu za nyama enyi wapishi maridadi
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari zenu wadau. Natumai mu-wazima kabisa. Well, kama mada inavyojieleza hapo juu naomba msaada wa maandalizi na upishi juu ya hawa kuku kama wa ChickenKing au Marrybrown. Hawa kuku sjui...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Habari wana JF. Naomba kufahamishwa aina mbalimbali ya vyakula navyoweza kupika kwa kutumia samaki wa tuna wa kopo.
1 Reactions
8 Replies
4K Views
  • Redirect
Mahitaji Unga kg 1 na robo Chumvi kiasi Samli vijiko 6 vya kulia......vijaze Mafuta vijiko 5.... Maji ya baridi (yaliowekwa kwa friji)..... Namna ya kutaarisha..... Weka unga katika...
31 Reactions
Replies
Views
Tumia njia hii rahisi na salama kusafisha microwave yako Mahitaji Microwave safe bowl Limau 1 Maji nusu kikombe Kitambaa safi Namna ya kusafisha Weka maji katika bakuli na kamulia limau...
6 Reactions
22 Replies
7K Views
Habari zenu??? Mimi ni mgeni humu, nilikuwa naoma msaada wa anaejua jamani.
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Mahitaji 1)sukari (granulated sugar) 1cup 2) mayai 4 3)maziwa kikombe 1 4)mafuta ya kupikia(vegetable,corn au canola) kikombe 1 5)unga wa ngano 2 cups 6)1/3 vanilla ya unga au arki ya vanilla...
14 Reactions
81 Replies
28K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…