Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mkopoa! Mahitaji mayai,karoti,hoho,chumvi,kitunguu maji, mkate Na mafuta ya kupikia (mimi nimetumia hoho na kitunguu kidogo sana)viungo inategemea na mapenz Yako Jinsi ya kupika vunja mayai...
10 Reactions
44 Replies
1K Views
Naendeleza somo langu la mbinu za mapishi na masotojo ya kijanja. Nimegundua jamii ya watanzania wapo nyuma sana kwenye mapishi. Last time nilikuja na kigongo cho rosti la kitimoto Mbinu za...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimepanga kuwa vegetarian kutokana na sababu za kiafya na nataka kuona kama nina nidhamu ya kuweza kuwa vegetarian. Naombeni maoni, elimu, ushauri na uzoefu wenu kwenye eneo hili maana sijui...
1 Reactions
9 Replies
460 Views
Natumain wazima na weekend inaenda vizuri Niwaletee recipe ya kupika makange ya samaki Mahitaji Samaki aliekaangwa Kitunguu maji na kitunguu swaumu nyanya za.kawaida(saga) na nyanya ya...
29 Reactions
191 Replies
4K Views
Wana maakuli kwema? Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na...
0 Reactions
63 Replies
2K Views
Wanawake wa siku hizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko? Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa...
28 Reactions
275 Replies
5K Views
Natumaini mkopoa Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi Mahitaji Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na...
22 Reactions
173 Replies
5K Views
Kuna matunda ya asili mengine yanapatikana kwenye maeneo fulani tu, unakuta umekua ukiyala na baada ya kuondoka hapo kwenda sehemu nyingine huyaoni tena. Leo nimekaa nimeyakumbuka matunda ya...
6 Reactions
75 Replies
3K Views
Wali nyama ya kuku wa kienyeji alierostiwa. Nahitaji pia nyama ya Mbuzi aliochomwa, ndizi za kisamunyu za kupikwa. Maziwa fresh, na pia maharage yasikosekane. Anaeweza andaa na kuhakikisha...
1 Reactions
3 Replies
405 Views
Nadhani hakuna chakula kinachosambaza magonjwa Tanzania hii kama kachumbari. Mtu anaenda maliwatoni na maji ya kopo. Hata hajajitawaza vya kutosha anakuja kukata kachumbari. Wewe unapewa hiyo...
9 Reactions
34 Replies
1K Views
Wapishi nawasalimia Naomba msaada wa haraka nimepata tenda. Ila wanataka niwe certified na w/ya temeke na mimi ni mpishi mdogo tu ndio kwanza nieanza anza kwa yeyote anayeweza nisaidia hata...
1 Reactions
7 Replies
686 Views
Tembea uone, Nimeenda huko kunakosifiwa kwa mapenzi na mapishi, nimekutan na mboga ya ajabu sana sijawahi kuiona. Inaotwa hombo za/ja Mungu, yani ni kama vile hina, au majani ya chai...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Nafikiri mkopoa kabisa Naomba ku share na nyie recipe nzuri ya kupika ndizi mzuzu Kwa wale wasiopenda rost na wengine wanaopenda kula chakula Cha tofauti na hakichukui mda kuandaa Mahitaji Ndizi...
34 Reactions
402 Replies
11K Views
Nataka nianze rasmi kumla huyu mnyama anayechukiwa na watu zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.. Nataka kujua anakuwa mtamu zaidi akiwa rosti au mkavu? Je nimsindikize na ndizi ama kaugali...
20 Reactions
95 Replies
6K Views
Habari wakuu. Natamani nifanye jiko la nyumbani kwangu liwe la tofauti kidogo na nimeona Kuna hizi sufuria za non stick ambazo zimekuwa maarufu sana. Naomba mwenye kuzijua vizuri anielezee sifa...
3 Reactions
59 Replies
5K Views
Wasalaam, Mwenye ujuzi juu ya utengenezaji wa ubuyu wa vipande naomba dondoo, nimepitia Youtube kila nikijaribu holaa!! Tutafute namna ya kuongeza kipato [emoji120]
0 Reactions
0 Replies
455 Views
Habari wakuu, kwa wale wadau wa hii nyama yetu pendwa, ngoja leo nikupe mbinu. 1. Nunua nyama yako, ni vizuri kama atakukatia katia pale. 2. Weka nyama kwenye sufuria, weka na maji, halafu anza...
20 Reactions
138 Replies
5K Views
Huwa najiuliza hii nyama ya nguruwe aka PIG au kwa yule pori, Ngiri.. ilikuaje ikapata jina, Kitimoto! Ni moja kati ya majina yake maarufu. [emoji6]mkishajibu mnifundishe kupka makange yake..
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Mahitaji: mchele, maji, chumvi,mafuta bila kusahau moto wako wa gesi, mkaa,au kuni etc.hatua ya kwanza washa moto wako, kisha injika sufuria lako jikoni,unapoinjika tu akikisha mchele wako nao upo...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom