Natumaini mkopoa
Tujifunze namna ya kupika chapati za maji Kwa njia rahisi na haraka pia ni moja ya vitafunwa ambavyo havina mambo mengi
Mahitaji
Ngano robo au kias unachopenda Kulingana na...
Kwa hakika kama kuna mtu kati yetu asubuhi ya leo kala tunda lolote lile basi ni wale waliolala zile hotel zenye bed n breakfast full course. Wengine wetu kwa uchache mno ni wale wafanya diet na...
Kwanza uta menya ndizi zako kisha andaa hoho, karoti,
Kumbuka utumbo mgumu kuiva so uchemshe kwa mda mrefu
Baada ya hapo anda sufiria ya kupikia weka mafuta kidogo tu yakipata moto weka ndizi...
Nyanya zinaharibika haraka? Kwa kutumia mbinu hii rahisi, unaweza kuzihifadhi ziwe fresh hadi miezi sita bila friji.
Unachohitaji
Nyanya fresh
Blender
Sufuria kubwa
Mitungi ya glass yenye...
Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi...
Chips za mtaani zinabaki kuwa chips bora na tamu kuliko chips za sehemu yeyote ile.
Though upishi wa chips ni mmoja lakini bado utashangaa radha zinatofautiana au waungwana huweka vidawa.
Hasa...
Usiku huu hapakaliki wala hapalaliki kila nikijaribu kupumzika nashindwa kisa hamu ya kitumbua.
Kuna hamu ya kawaida halafu kuna ile ambayo mie inanishika nikikitaka kitumbua.
Saa tano hii...
Zamani wakati nakuwa nilikuwa nikisikia kutapikiwa chapati hiyo siku nitafanya yote kwa umakini kuhakikisha simkeri bimkubwa maana kaka zangu wasingenielewa, lakini siku hizi chapati zimeshuka...
Well for me natumia hii njia na zinakaa kwa muda mrefu sana, naziweka kwenye container au organizer kama hapo nazijaza maji😊 njia ziko nyingi wewe unafanyaje?
Hi guys,.hope mko poa
Tunavyoendelea kumwomba Mungu kuelekea kesho D9 basi tusisahau kula..... Haya tuanze
Ukishaweka mchele wako kwenye rice cooker au vyovyote vile utakavyoupika,. Pembeni...
Inafanana na ule uzi wa vyakula ila ule ni worldwide.. Hapa kwa asilimia 100 ni vyakula tupikavyo na tulavyo kila siku
Huku hakuna chopstick, hakuna kuku kwa mrija ama kula na mikono miwili yaani...