msinione mjinga, ioa najiuliza tu.....
matusi ni nini?
Kwa nini mfano neno '' Nyoko'' kwa maana ya asili ni ''Mama''
mtu akiambiwa ''Nyoko'' anakuna, anakasirika anataka hata kupigana hata kama...
Habarini za wakati huu wakuu..Hopefully mko salama..Nilikua naomba msaada wa kujua maana ya maneno yafuatayo kwa kiswahili.
1:Squeeze.
2:Squash.
3:Crumple.
4:Crush.
5:Shrink.
6:Press.
7:Wring...
*KISWAHILI* *BAHARI* *YA MAWASILIANO*
Karibu mdau mkubwa wa kiswahili upate kuyajua maneno ya kiswahili ambayo pengine umekuwa ukiyatamka na kusogoa kwa lugha ya kiingereza pasi kujua maana...
Taarifa ikufikie hapo hapo ulipo kwamba kama unataka Kusema au Kumsifia Mtu au Mnyama fulani kuwa haogopi chochote kile au lolote lile hapa duniani basi kwa kile Kiswahili chenyewe na cha Kitaalam...
ASANTE KWA KUNILIZA.
1.Nilijua nimefika,nawe utanituliuza
Wakufa na kunizika,leo tena waniliza
Mdomo naufunika,wala sitokuuliza
Asante kwa kuniliza,nakuombea baraka.
2.Japo chozi...
Issa Kitenge ni mmoja kati ya washairi wakubwa Tanzania lakini asiejulikana sana katika jamii ya washairi wengi.
Alizaliwa kunako mwaka 1929 katika mji wa Kigoma na baba yake alikuwa akijulikana...
Habari niende moja kwa moja kwenye mada, hakuna kitu kinanikera kama mtu kuchanganya R au L katika neno mfano Rambo kuiita Lambo hili siku zinavozidi kwenda naona linazidi kua janga la taifa na...
Habarini wanajamvi.
Hakika hili lanitatiza,na ninaamini hapa ndipo penyewe.Ni hivi;
Mtoto anapozaliwa na kukutwa anajinsia ya kike.
Tutasema kazaliwa mtoto wa kike au kazaliwa mwanamke?
Nawasilisha
Kuna barua inayosambaa kwenye mitandao yenye kichwa cha habari "GHARAMA ZA LESENI KWA WASAFIRISHAJI WA VIFURUSHI, VIPETO NA NYARAKA "
Kama nilivyonukuu imetolewa na Mamlaka ya Mawasiliano...
Tunaishi nyakati ambazo siasa zetu zimetawaliwa na coded messages na matukio yanayohitaji tafakari ya juu kuweza kuyang'amua.
Nikitolea mfano wa haraka haraka ni hili jina 'Watu Wasiojulikana'...
Mbwa wazaa wengi, wazidiwaje na ng'ombe?
Swali hili ni la msingi, nijibu nipe ujumbe.
Najua hunipingi, wengi ng'ombe wenye pembe,
Wazidiwaje na ng'ombe, mbwa uzaaye wengi?
Mbwa ukizaa sita...
Malenga naanza hima,ukweli kuambiana
Kweli i wazi daima,yapasa kukumbushana
Walo watemi wajanja,kweli wajaribu ficha
Hili mujarabu Dongo,kwako wangu Magufuli
Wengi walishapotea, katika hali ni...