Kuchanganya R au L kwenye neno

complex31

JF-Expert Member
Jun 15, 2016
379
1,208
Habari niende moja kwa moja kwenye mada, hakuna kitu kinanikera kama mtu kuchanganya R au L katika neno mfano Rambo kuiita Lambo hili siku zinavozidi kwenda naona linazidi kua janga la taifa na hua najiuliza huyu mtu hivi kweli alipata elimu ya msingi vizuri
Habali - habari
Ruge - Luge
Forum - Folum
Askari - Askali
Jamani tujifunze kuandika kiswahili fasaha hiyo ni mifano tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom