Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hamjambo ndg zangu watanzania kwanza samahani kama nimeonesha ukabila katika kingereza kuna compound words mf. massmedia ambapo mass lina maana yake na media kivyake lakini yakiungana inaleta...
1 Reactions
83 Replies
37K Views
Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari Wadau wa Lugha ya Kiswahili! Mimi ni mdau wa lugha ya Kiswahili. Nimekuwa nikijaribu kukieneza Kiswahili hasa kwa njia ya mtandao, hivyo nimeona si vibaya nikibadilishana uzoefu na wadau...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za krismasi wakuu,nimekuwa nikisiakia methali hii LILA NA FILA HAVITANGAMANI naomba kuuliza lila na fila ni vinini
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Msaada wenu wakuu, naomba kujuzwa Rosemary kwa Kiswahili ni nini?? Nimejaribu ku search sikufanikiwa
0 Reactions
22 Replies
27K Views
Mfano matumizi ya neno la kiswahili BARAZA kufasiri maneno yafuatayo. Veranda-BARAZA Cabinet-BARAZA La Mawaziri House of Representative-BARAZA La Wawakilishi Ward Tribunal-BARAZA La Kata...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Ni mateka wa hewani. Au mateka hewa. Mawazo mbadala yanakaribishwa.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Kwakweli kabisa yajayo yanafurahisha! Nilikuwa nafikiri 'MAKINIKIA' ni neno jipya, lakini baadaye nikagundua limo kwenye kamusi! Sasa nawaomba wadau kama kuna yeyote aliyeisha kutana na hili neno...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya majina yote hutumika kumaanisha Makatibu wa Wakuu japo kwa Kiingereza utakuta yanaandikwa kwa style tofauti ndani serikali hiyo hiyo. Je kuna tofauti yoyote kisheria kwenye title hizo?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SACCO ni moja. SACCOS ni mbili au zaidi. Au si hivyo?
0 Reactions
1 Replies
825 Views
NYOKO. 1.Ukweli napo usema,mwenzenu sina nyimivu Maneno napo yatema,vyema uwe msikivu Cheche zikianza hema,kuni huzaa majivu Nakiri Nyoko ni shibe,ni shibe ya kuonana. 2.Ukiona wapo pamwe,jua...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shairi hili ni la kwa wa ubani aumwaye. Poa nipoe, kohoa nikohoe Harija zote nitoe, ni bwage moyo Kaole Zari na mgolole, wenye staha tuoe Poa nipoe, nisijepiga mayowe Maradhi faradhi, mimi yako...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais magufuli avalia shati la purple akishangilia ushindi wa stars. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Possessive apostrophe inakaaje kwenye singular nouns zinaishia na "s"? Kwa mfano. James Jesus Charles Moses???
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wengine wanaziita acronyms. Ni muhimu kuzifahamu hizi:- ABS - Anti-lock Braking System ADD - Attention Deficit Disorder ADHD - Attention Deficit Hyperactivity Disorder AIDS - Acquired Immune...
7 Reactions
43 Replies
6K Views
Msaada tafadhali,ni kitendawili kipi ambacho jibu lake ni mwiko?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habarini wakuu, m nmependa kuleta kwenu hili neno, hivi neno " MPUMBAVU' ni tusi au siyo tusi , kwa jins wewe unavyolichukulia, sabab hili neno limetumika mpka kwenye vitabu vya dini i.e.bibble
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za kazi na siku waungwana,nimekuwa nikisoma baadhi ya mada naona neno 'popoma' huwa kuna baadhi ya wanaJF hupenda sana kulitumia lakini katika hali ambayo huwa linaelewekan kwa badhi tu...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…