Naombeni mnisaidie muongozo wa kufundishia lugha ya kiswahili kwa mtu wa nje ya nchi

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza shukrani

sent using
 
Anza na salamu
Vitendo muhimu kama kula na vinginevo
Pia uliza madhumuni ya mteja kama anakuja kutalii mfundishe majina ya wanyama na vingine vyenye uhusiano wa karibu na maeneo hayo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom