Nini tofauti ya PERMANENT SECRETARY na GENERAL SECRETARY Serikalini?

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Haya majina yote hutumika kumaanisha Makatibu wa Wakuu japo kwa Kiingereza utakuta yanaandikwa kwa style tofauti ndani serikali hiyo hiyo.
Je kuna tofauti yoyote kisheria kwenye title hizo?
 
Tupe mfano wa huyo General Secretary serikalini!
 
Back
Top Bottom