Naomba kujuwa maana ya Neno UGATUZI

DSpecial

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
480
158
Nilisikia linatumika kwenye vyombo vya habari, lakini hadi sasa nimejitahidi kujuwa
maana halisi ya hili neno lakini sikufanikiwa. Lakini nahisi Wazanzibar wanafahamu vizuri maana naona lilitumika sana na viongozi wa Zanzibar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom