Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hivi neno "kutuzi" lina maana gani? Je, chanzo chake ni kipi? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Ni moja ya mada zinazochanganya sana. Baadhi ya sifa za virai ni kwamba hazina muundo wa kiima na kiarifu. Ndani ya kirai kunaweza kuwa na kirai kingine ndani yake. Mfano "watoto wanacheza kwenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Leo nakamata ungo,tuone mtarukaje So kwamba ninamsongo,hii ni toroka uje Umetimia mpango,pona yenu bora mje Nimejipanga kuloga,muiteni baba yenu. Mlinirusha kilinge,enzi za mababu wenu Nasema na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa zaidi katika nyanja zifuatazo pindi unapoandika nukuu za kikao Lugha ya nyakati gani Mfano wa vipengele gani vyakujumuishwa
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie English term ya Neno KUJIKOMBA AU KUJIPENDEKEZA. Wawecha sana!!!! Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu mwenye kujua dagaa kwa kizungu wanaitwaje anisaidie. MICHANGO YA WADAU: Anchovies. Description An anchovy is a small, common forage fish of the family Engraulidae. Most species are...
0 Reactions
13 Replies
8K Views
Nina shida sana na kamusi ya TUKI ndugu zangu. Naomba kusaidiwa kwa yeyote aliyenayo tafadhari
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Hili neno kwa sasa lipo viral sana kwa watangazaji wa Tanzania, sijajua ni ulimbukeni au ni katika kujionyesha wamesoma na sio makanjanja. Out of context utasikia hilo neno limechomekwa, huwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kamusi ya kingereza-kswahili/kiswahili-kingereza naomba aliyenayo anitumie Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mara nyingi nimekuwa natumia Google Translate kupata maana halisi ya maneno ya Kiingereza kwa Kiswahili wanajitahidi kidogo kwa neno moja moja. Lakini tatizo lao kubwa sentensi ikiwa ndefu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Msimu ni maneno yasiyo sanifu yanayoanzishwa na kikundi cha watu wachache wenye utamaduni mmoja ili kueleza mahusiano yao kama kikundi. Kwa kawaida maneno hayo huzuka na kupotea, ila yale...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Kikwetu tunasema 'kwitongo' na 'pamwambo' hiyo ni Mbeya mixer Nyaluland. Haya kikwenu ng'ambo kwa Kilugha chenu mnaitaje? Waliozaliwa mijini na hamjataka kujifunza lugha ya mama mtakuwa fans...
0 Reactions
3 Replies
942 Views
Watanzania ni watu watafutaji sana duniani, kila nchi wapo, ila kwa kutojua English vema tunatumia nguvu nyingi sana ili kufanikiwa katika mambo mbalimbali. Mwaka juzi nilikuwa Latini Amerika...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiswahili ni lugha tamu sana, ila pale mtu anapoanza kuiharibu inatia hasira sana. Kwa mfano, pale watu wanaposema maneno yafuatayo: "Abali yako we kaka" "Wewe hujui dhamani ya moyo wangu ndo...
26 Reactions
91 Replies
14K Views
Hello, Wakuu, nataka wauliza eti maana ya neno tajwa hapo juu ni nini? Mfano, ukisikia mtu anasema; Mtu 'A' ana gubu. Je, ina imply what characteristic?
0 Reactions
6 Replies
10K Views
Kuna member wa JF anatumia jina la Naisha Nasri alipositi thread ya kiingereza kama ifuatavyo; "I love Jf because of it's educative contributions "in kiswahili"from its members but when the...
5 Reactions
32 Replies
5K Views
Asalam Alaykum (Amani iwe nanyi) Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya Kiswahili ambayo huwa hayatumiki sana na kupelekea kutokujulikana na watu wengi katika jamii zetu hivyo kupunguza kama sio kuua...
1 Reactions
23 Replies
5K Views
TANGA KWETU Ni ukweli usiopingika kuwa wazungumzaji wazuri wa lugha ya kiswahili ni watu wa pwani, jambo hili limechangiwa na sababu kadha wa kadha lakini kubwa ni sababu za kihistoria na...
2 Reactions
15 Replies
6K Views
Wakuu kwema Naomba mnisaidie kuchanganua tofauti za maneno haya tafadhali 1. Thamani na dhamani 2. Thibitisha na dhibitisha Natanguliza shukrani Cc: FaizaFoxy
1 Reactions
13 Replies
11K Views
Kwenu Waungwana, Wakongo na wasio Wakongo lakini wanaoelewa Kiswahili cha Kongo ambacho ndani yake lazima ukumbane na "Mafranshyee" na Lingala. Hapa chini nina 2 minutes audio. Nime-rewind mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…