UWANENI
Uwaneni!
Chinjanen!
Chukianen!
Amani tena ya nini?.
Piganeni!
Shindaneni
Mwende vitani?
Nawasemesha wahuni.
Wamarekani!
Pia Irani!
Ni mashetani?
Mliopo duniani
Yenye amani
Tatizo nini...
Kitambi kimeniponza
Kitambi kimeniponza, sina hamu asilani.
Kimenifanya nawaza, maisha si ya thamani.
Mahari mara ya kwanza, natakiwa milioni.
Wakashindwa kunioza kwa laki tano jamani...
kujua lugha mbalimbali ni moja wapo ya njia ya kuongeza thamani ya ulichonacho kwa mfano wapo watu wenye elimu ndogo tu ambao kujua lgha fulani imewafanya kupata kipato maradufu nakualika...
This is a special platform where we can learn how to improve our english skills in terms of speaking, writing, listening and reading.
In this thread also we are going to learn how to eliminates...
HAYA SIYO MAISHA.
Watu wanatengana, eti kisa ni pesa
Fukara wanapigana, sababu ni siasa
Hovyo wanagombana, damu wakiinusa
Roho kuchukiana, pendo tukalikosa
Sidhani Kama hivi, haya siyo maisha...
Yanga imetokana na Young?, Kwanini "Young" ya Kiingereza haikuwa "Vijana" kwa Kiswahili?
Yanga ni kitu gani? Ni kukosea? Ni kutokujua? Ni sahihi kuita timu ya Dar es Salaam Young Afrika kwa jina...
SIKU HIYO IKIFIKA
Siku hiyo njema kwangu,
Mateso tapumzika
Takutana mola wangu,
Moyo utafurahika
Tapata lo haki yangu,
Dunia lo dhulumika
SIKU HIYO IKIFIKA,
HAKI ZANGU TAZIPATA
Wale kwao nilo...
Wengi wamekuwa wakisoma Biblia ya Kiswahili bila ya kufahamu hasa ni nani alioandika Biblia kwa lugha ya Kiswahili kutoka katika moja ya lugha zile tatu za mwanzo mwanzo ambao ndizo zilizotumika...
Walipo ipata mali, wakaingia mjini
Wakamtupa jalali, jembe na wake mpini
Wakaponda zote mali, na warembo limbukeni
Wakachana daftari, kupoteza taarifa
Walikula na kusaza, wakaota na vitambi
Meza...
NA MOHAMMED ABDULRAHMAN
Kiswahili ni lugha inayozungumzwa katika kanda ya Afrika Mashariki kuanzia Somalia hadi Msumbiji na ni lugha ya mawasiliano kwa sehemu kubwa ya kanda hiyo. Tanzania ndiyo...
BARIDI YA MOROGORO HAINA ADABU
1. Ya moyoni ninayo, mengi kujaza kapu
Yaani tena yahusuyo, baridi iumizayo pafu
Baridi adabu hamnayo, nawapa yake makavu
Baridi ya Morogoro, kweli...
Hello members, nataka kufanya mtihani wa Kiingereza IELTS kabla mwaka huu, naomba ushauri kwa yeyote mwenye uzoefu na hii mitihani.
Vilevile nitafurahi nikipata members ambao wamewahi fanya hii...
Pale JNIA Terminal 2 niliona tangazo lenye sura ya waziri wetu wa utalii.
Tangazo hili lina slides 2, ya Kiswahili na ya Kiingereza.
Ya Kiswahili imeandikwa “Simba ni Utalii”, ya Kiingereza...
Habari zenu wadau.
Nilikuwa naomba msaada wa uhakiki wa maneno yaliyotumika katika kutayarisha Shahada hii.
Shahada hii ni Hati ya Shukrani kwa ajili ya kuthamini mchango wa wanajumuiya wetu...
Jamani wakati tunakua tulikuwa tuna ganilwa nahau na methali mbalimbali za kisukuma na
bibi na babu zetu, hata sisi wenyewe wakati tunachunga tulikuwa na mchezo wa kugani methali na mwingine...
Halo JF,
Kumekuwa na matumizi mabaya ya neno "Angalau" kunakopigiwa upatu na radio za kimataifa za BBC, DW, VOA nk.
Wenyewe wamehamisha moja kwa moja kutoka lugha ya Kiingereza "Atleast"...