Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Ninapowasikia watangazaji wa mpira mara kadhaa husema mpira umebabatiza. Maana yake hasa ni nini?
2 Reactions
4 Replies
729 Views
Nimekuwa nasikia na hata wakati mwingine kuyatumia maneno haya ila sasa napata shahuku ya kufahamu kama kuna uhusiano kwa maneno haya. Mtu atasema "umeniachia msala" akimaanisha umemuachia...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wadau wa jamvini, Hope mnaendelea vizuri na mapambano ya kitaifa na uchumi wa kati. Nilikuwa nataka kujua na kufahamu maana halisi juu ya huu msemo uliozuka wa kwa Mpalange. Juzi kati...
2 Reactions
61 Replies
58K Views
Wana Sheria ni wataalamu wa lugha hasa Kiingereza Swali lipo kwenye heading Nimekaa pale 🐼
2 Reactions
35 Replies
2K Views
Wahuni sio watuwazuri. Kitendo cha watu wa jinsi 2 tofauti kuungana kimwili ni kitendo chenyeraha isiyo kifani hasa ikichagizwa na miguno. Sasa sijui katokea mtu wapi huko eti anadai kitendo kile...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wana JF? nahitaji msaada wa majibu katika mtihani huu kwa kiswahili. kiukweli mimi umenishinda kabisa ni mtihani wa online 1. Ipi kati ya chaguo lifuatalo inawakilisha njia sahihi ya...
0 Reactions
4 Replies
869 Views
Unda neno la kiswahili lenye mchanganyiko huu wa herufi LOKEITAPA
0 Reactions
2 Replies
467 Views
Hili neno limeenea Kila mahali sijui Lina maana Gani?
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu hivi Popoma maana yake ni nini ? ni MTU wa aina gani .?
5 Reactions
30 Replies
1K Views
Udelele ni mate mazito yanayomtoka mtu labda kama ni punguani au ana matatizo Dovuo ni mate mazito yanayomtoka mtu akiwa usingizini, huwa yana harufu kali Udenda ni mate yanayomtoka mtu kutokana...
0 Reactions
0 Replies
697 Views
Mwalimu na nguli wa lugha ya Kiswahili kutoka BAKITA Mzee Sigala anatuelezea maana halisi ya neno ngono Je na wewe pia ulikuwa una elewa hivyo ukisikia neno ngono? Soma pia: Ondoa Mikosi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
siku hizi mimi naona neno la jamaa. inaonekana neno ya jamaa kuna maana mengi. 1. Amekwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki. Hapa jamaa ina maana watu ambao una mahusiano nao ya...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Kuna huyu bwana mdogo J. Nkumbi nimepata kumfuatilia siku 2 tatu hizi nimefurahishwa sana na maneno yake. Kwa kweli kiswahili ni lugha nguvu kuliko hata kimombo ila huyu bwana mdogo anakipiga...
4 Reactions
15 Replies
10K Views
Tangu waandishi wa habari na watangazaji kupotea "disappeared in the thin" na kutosikika neno Ithibati likachipuka ghafla hasa wiki hii. Licha ya utaalam wangu na uzoef Katika lugha hii kuntu...
1 Reactions
3 Replies
677 Views
It s not a competition but let us be entertained and entertain ourselves by debating . Other may also join but only english. Feel free and lets not be afraid of "kuchapia" as we did in in...
11 Reactions
765 Replies
77K Views
Mh. Polepole amejiuzuru gafla shuguli za siasa - ❌ Mh. Polepole amejiuzulu ghafla shughuli za kisiasa - ✅ Maneno mengine ambayo nimesikia yanakosewa mara nyingi. azabu - adhabu ✅ tajili -...
2 Reactions
59 Replies
2K Views
Swahili weekdays mostly follow a logical numeric pattern combined with the word ‘juma’ ( nadhani inamaana wiki au siku), Jumamosi = first day Jumapili = second day Jumatatu = third day Jumanne =...
2 Reactions
6 Replies
761 Views
Mmesikia huko....... eti lakuvunda halina ubani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mambo vp wadau Umekuwa ukitamani kujua/kujifunza lugha ya kifaransa? Karibu tuwe pamoja kwenye hii thread uweze kujifunza maneno mbalimbali ya lugha ya kifaransa. Uliza swali lolote au neno...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…