TBC1 na ITV - Ninyi mnatofautiana kuandika neno MBASHARA? MUBASHARA?
USHAURI: Nendeni BAKITA wawapatie neno sahihi maana inaonekana mnashindana wananchi hatuelewi LIPI ni neno sahihi? MUBASHARA...
Kifaransa nilikisoma kidogo mwaka 2004 pale Makongo Form 3 baadaye ya kuhamia pale tokea Lake Secondary School ya Mwanza. Sina msingi mzuri wa Form One and Two kwani sikufanikiwa kupata msingi...
There's no doubt that English language is the dominant, first class business and science and technology language.
Many life principals, wisdom, knowledge and practical skills are documented in...
Nahitaji kujifunza lugha hizo mbili (in a formal way) kwa wakati mmoja. Dar es salaam. Ratiba isiwe ya kunibana sana.
Wapi nitapata huduma hii kwa uhakika zaidi?
Ni mradi unaohusiana na kuwepesisha mafunzo ya hukumu mbali mbali ya Uislamu kwa lugha mbali mbali, kwa lengo la kueneza Uislamu ulio sahihi kwa waislamu. Mradi huu unajumuisha kitabu chenye picha...
Nlisikia iyo sentensi kwenye nyimbo ya harmonize inaitwa "kushoto kulia" Harmonize alisema "sipigi ngenga, pesa ninayo", sasa najiuliza kupiga ngenga maana ake ni nini?
Asubuhi = good morning
Mchana = good afternoon
Jioni = good evening
Usiku =?
Siyo kama sijui kama kuna goodnight, lakini kwa sababu good night inatumika watu kutakiana usiku mwema, imagine mtu...
Wakuu samahani naomba kujua tafsiri ya neno PISI linatumiwa sana Mawingu studio na Millard kwa walimbwende wa Mashindano ya Taifa!
Na kama haijakaa sawa kutumiwa kwa walimbwende hawa inakuwaje...
Hi,
Looking for people who understand a little bit about Sport and are able to write in Swahili.
We're looking to pay $3 for 400 words. All articles should be unique and will be checked for...
Wanajanvi,
Hebu leo nijuzeni.
Neno Mungu si Athumani, ni msemo wa tangu na tangu.
Naomba kujua, huyu Athumani ni nani, asili yake wapi hata atumiwe katika heshima ya Mwenyezi?
MZURURAJI
Nenda kote uzunguke
Kapayuke upasuke
Umbea kautangaze
Na taifa uliuze
Wazalendo twasubiri
Kikinuka tukuanze
Mjinga sana ni wewe.
Kijijini una ndugu
Tena masikini sugu
Kula yao hawajui...
Habari zenu waungwana,
Naombeni msaada wenu, juu ya maana ya neno "Asha kum si Matusi"
Maana watu hulitumia na kuweka neno la tusi mfano; Asha kum si matusi - Mbwa wewe.
Huwa tunatumia sana hili neno katika mchezo wa mpira tukimaanisha (TIMU MBILI MASHUHURI ZA MJI MMOJA ZIKIKUTANA NA KUCHEZA PAMOJA) ndo tuna sema DERBY.
Sasa hili neno DERBY tumelizoea sana...
Maana ya regime ni nini? je, neno regime lina maana sawa na government?
Niliwasikia wajumbe wa kamati mojawapo ya European Union wakisema Tanzania kuna regime ambao alipewa hela za covid-19...