Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
[emoji120]
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Habari za wakati huu wana JF. Samahani sana naombeni msaada wenu, nahitaji kuwa mtaalamu wa lugha za kigeni(kusoma, kuandika na kuongea kwa ufasaha) na nipo tayari kuanza kujifunza mwezi huu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukiwa Chugga, utasikia misamiati tofauti sana na maeneo mengine, kama kwenye wingi wa maneno, mfano: Maji - Mamaji Ulaya - Maulaya Watu - Mawatu Zipu - Mazipu Kikombe - mavikombe Sahani ya pilau...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomba unyumbuishaji wa neno adhibu? TENDA- TENDEA- TENDEKA- TENDANA- TENDEANA- TENDWA- TENDEWA - TENDEKA- TENDESHA- TENDESHANA- Karibuni tupanuane uelewa...
0 Reactions
2 Replies
492 Views
MAUTI. Tuishi na kukumbuka Kama si leo ni kesho Ni siku ya kuanguka Nyakati zako za mwisho Ni lini itakufika Na vipi mataarisho Dunia ni ya kupita Tuyakumbuke mauti.. Tuishi kwa kuingoja Kutenda...
2 Reactions
0 Replies
421 Views
1. Mwezi mchanga 2. Kanzi data Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
4 Replies
820 Views
SHAURI YAO Watasema kila leo, kuwambia walimwengu Wachapishe matoleo, ya kireno na kizungu Nimejaliwa upeo, na kisha ninaye Mungu Hayo wanayo yatenda, yatawarudia wao Wenda wakidanganyana...
2 Reactions
0 Replies
367 Views
Napenda kuwashauri ndugu zangu Watanzania kujifunza Kiswahili kwa bidii na azma thabiti. Ingawa Kiswahili ni lugha yetu ya asili, ina faida nyingi ambazo hazipaswi kupuuzwa. Kwanza kabisa...
0 Reactions
1 Replies
520 Views
Hi to all my dearer friends, Kiswahili classes for foreigners and English for Tanzanians through Online (Zoom) still continue, What are you waiting for? Come and learn the language for your...
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa...
0 Reactions
8 Replies
778 Views
Hapa wadau Ni iwe ulijifunza, uliishi Congo na unaweza kuongea lingala basi unaweza kushare hata mistari miwili mitatu ukaeleza ina maana gani ili watu wanifunze lingala, Mfano ule wimbo wa...
4 Reactions
162 Replies
20K Views
Tangu tunazaliwa, makuzi yetu, shuleni, hadi utu uzima, lazima Kuna neno au msemo bado hujapata mantik yake Hadi leo, kupitia andiko hili hebu tuelimishane na kukumbushana midemo, nahau na maneno...
0 Reactions
60 Replies
4K Views
Penzi lako nili tamu,kwako nipo taabani Penzi aliishi hamu, limeingia damuni Hii sasa yangu zamu, kufurahi Duniani Nimeipata bahati, kupendwa na Malaika. Penzi lako kama nuru, linanitoa gizani...
3 Reactions
6 Replies
584 Views
Naomba kujuzwa kituo kizuri kinachofundisha lugha ya Kifaransa hasa mida ya jioni. Nitafurahi nikijuza na gharama zake kwa kila hatua. Asanteni
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Naweza nikapata wapi riwaya ya "Mambo ya ajabu yaliyompata Allan Quatermain na wenzake?" Riwaya zingine nzuri ni kama gani? Kufahamu vitabu vingi vilivyoandikwa na waandishi wa kitanzania...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina. Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza...
1 Reactions
3 Replies
797 Views
Sheria Niwaandikie tenzi, au naliwe shairi Mpate na kulienzi, na mtoe ushauri Mimi naitwa mkwezi, nasema nilofikiri Naomba kuwauliza, machache kwa hizi beti Na mpate kunijuza, haraka niende beti...
0 Reactions
6 Replies
464 Views
TUJIFUNZE KISWAHILI: 1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jina lake Samia; kwanini aitwe mama Samia, badala ya kuitwa Rais Samia? Maana ukisema mama inasimama badala ya mama yake, au mume wake angeitwa Samia (Mrs).
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Msenge (kwa Kiingereza: Transgender) ni aina ya watu ambao hujisikia, hujifikiria na kujiona au kujiigiza tofauti na jinsia zao za kuzaliwa nazo. Kundi hili dogo hujumlisha watu wanaokusudia...
3 Reactions
9 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…