Changamoto ya Kiswahili cha Tanzania

benjykulture

New Member
May 1, 2023
4
1
Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?

Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽‍♂️.
 
Do you know slangs? Sahau kupata slangs Kwa internet it's like wakenya makalio mnaita nyash😂 but hio haipo google
 
Hakuna slang ya Kenya utakosa kwa internet
Screenshot_20230515-124627.png
 
Kiswahili cha Tanzania ndio bora duniani. Ukisikia mtanzania ameongea Kiswahili na wewe hujamuelewa, mkimbilie umuombe akufafanulie.
 
Lakini kiswahili cha Tanzania hua vipi?

Kuna maneno hutumiwa pale hata ujaribu kutafuta maana kwenye internet huwezi pata. Kama mnabuni maneno basi pia muweka maana pale kwa internet tujue maana yake. Kuna maneno mengi natafuta maana lakini sipati kamwe🤷🏽‍♂️.
Nimeona neno ndaki sijaelewa ni nini
 
Back
Top Bottom