Kwa taaluma ni mfasiri, lugha ninazofanyia kazi ni, Kiswahili na Kiingereza:
Natafsiri Vitabu, Majarida, Makala, kazi za kifasihi, vyeti na nyaraka mbalimbali.
Kama unataka huduma hii wasiliana...
Natamani na sisi tungekuwa na taasisi iliyo makini katika ukuzaji wa Kiswahili.
Yaani baada ya Miley Cyrus kukata viuno kwenye VMAs na neno 'twerk' kuwa katika midomo ya karibu media zote jamaa...
Ningependa kufahamishwa historia ya Kiswahili kilianzia vipi kuandikwa, ilikuaje, nani aliyeamua herufi hizi tulizo nazo ziandikwe n.k.
PS Huu ni "uchokozi" wa kimjadala, kabla ya kujibu...
Kuna jamaa anajidai ni mtaalam wa lugha Cloudsfm, anasema huwezi kutibu maji kwasababu hatutumii dawa na ni tafsiri sisisi.
1.Je chemical sio dawa au dawa sio chemical?
2. Anadai pia kwa maoni...
ndugu wanajamvi,
nikiwa naangalia muvi moja ya kibongo nimekutana na msemo huu,..jamaa alikuwa anaomba ushauri kuhusu jambo fulani na rafiki yake asema hivi..."kichwa chako ndio serikali yako" na...
Wakti namsikiliza Mheshimiwa mgeni wetu adhyim, Rais wa Muungano wa Mataifa ya Kimerekani (USA), Barack Hussein Obama, nilimsikia alipoitaja Dar Es Salaam, aliitafsiri kuwa ni "Habour of Peace"...
Tafadhali naomba wajuzi wa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, wanipe maana za maneno haya ya Kiswahili, ikiambatana na mifano.
1. Utani
2. Mizaha
3. Masihara
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC...
Nimeomba kazi UNDP wakanibu hivi. May your day be punctuated with a revanchism whose magniloquence can only be theotropistically analysed by the use of a reminiscent excarbation.I hope you...
WanaJF,
Tujasaidiane wadau, najua huo ni mkono wa kulia lakini kwanini uitwe ni mkono wa kuume? Je, hili nalo ni sehemu ya mwendelezo wa kuwanyanyapaa wamama? Kinyume cha mkono wa kuume ni...
ANAHITAJIKA MKALIMANI WA KISWAHIL/KINGEREZA KATIKA MKUTANO UTAKAOFANYIKA UK (LONDON) JUMATATU 15.07.2013 .KAMA UPO UK AU UNA MTU UK ANAYEWEZA KUFANYAKAZI HIYO .TUWASILIANE 0755912212 au...
kumekuwa na mparaganyiko katika hili, mara wengine wanasema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGO CHA NJE''
huku wengine wakisema ''SHEIKH PONDA ANATUMIKIA KIFUNGONI CHA NJE''.
Utata upo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.