Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
What is the meaning of a phrase " CORRUPTION FREE ZONE" ???
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana jf. Juzi nimetembelewa na mtoto wa dada angu,sasa huyu mjomba ni bubu,sasa kwa siku mbili hizi nilizoo kaa nae,yaani hatari. Kwanza anaonekana mwongeaji sana (kwa lugha za Alama). Pili ni...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Shahidi wa kwanza wa Mashtaka katika kesi inayomkabili Mkamu wa Rais wa Kenya,William Ruto leo ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai(ICC). Shahidi huyo wa kike ametoa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
hili halijaanza jana wala juzi ila siku hizi imezidi mno na kuwa kero. tafadhali sana waandishi wa magazeti, naombeni mzigatie uandishi wa kiswahili fasaha na sahihi pasipo kukera wasomaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba tafsiri za maneno haya kwa ki-English tafadhali. 1. MTENDAJI MKUU. 2. WAKALA WA USAJILI,UFILISI NA UDHAMINI
0 Reactions
5 Replies
2K Views
waungwana naomba nipate uelewesho juu ya hili hivi maneno HABARI ZA SAA HIZI? ni swali au salaam?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
nilipo kuwa kidato cha nne mwalimu wangu alikuwa aki husianisha kiswahili na maneno ya kibantu. alisema maneno yote ya kibantu na kiswahili ikiwa miongoni mwa rugha hizo, yameishiwa na irabu mfano...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Elimu bora ni muhimu kwa kila mmoja wote tuelimike tufikie malengo tokomeza ziro kwa vitendo tokomeza ziro Kiitikio: mwisho wa ziro x 8 Akakufundisha ukafika kuwa mwalimu chonde chonde moyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu, Leo nataka ninyooshe lugha yetu tukufu ya Kiswanglish. Sababu ya kufanya hivyo ni kwamba, makosa yaliyo katika Kiswanglish ndiyo hayo yanahamishiwa kwenye Kiingereza, tunapojaribu kusema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina uzoefu wa kutosha katika kazi hizi mara nyingi nimehusika katika kufasiri maandiko ya kitaaluma, Kwa Kampuni, taasisi au mtu binafsi aliye mahitaji ya mfasiri Kama vile 1. Vitabu 2.Vijarida...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
mda mrefu umepita toka nikusudie ku post hili. aliyeandika hili bango pale sabasaba ni nani. badala ya maonesho kaweka maonyesho. pamoja na kutanpaza biashara pia tumetangazia dunia hatupo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani wataalam naomba nisaidieni haya maneno maana ninaamini nilichofundishwa darasani kuwa dunia ni duara. lakini sasa kuna hili neno utasikia kwa mfano "kila kona ya dunia" sasa nimekuwa...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wana JF, tafadhari aliye na soft copy au link ya kupakua hicho kitabu anisaidie
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Labda ilishatolewa, ila naomba kuwakilisha: Baada ya kupita hoja ya kutoka analojia kwenda digitali..imekuwa ikisemwa vinunuliwe 'ving'amuzi'. Sasa kwa maana halisi 'ving'amuzi' ni 'detector'...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Kila nitazamapo Tv au kusikiliza redio, nakumbana na matumizi ya maneno mawili ya kiswahili yanayoniacha hoi.Nawasikia wakitangaza: BoA ni benki itakayokuwezesha kuweza kupata mafanikio kwenye...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za jioni wana JF. Leo nilikuwa na jamaa yangu mahali tunapiga story za hapa na pale (ni mtu ambaye ni msomi mzuri tu) ghafla dushelele langu likaanza kuwasha, nikajikuta nikimwambia huyo...
0 Reactions
59 Replies
9K Views
Habari mwana jf? Ninaomba msaada wa kupata ile kamusi ya TUKI yenye English-Swahili,Swahili-English, nasikitika ya kwangu imepotea baada ya window kublock na ndio ilikuwa msaada mkubwa kwangu wa...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Thread deleted....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikiliza kipindi cha RFA kinachozungumzia magazeti kila siku saa 12.30 asubuhi. Nimegundua watangazaji wanatumia neno lakini visivyo hasa kwa kuunganisha taarifa zisizofanana au...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Maana ya neno "mundu" ni nini..!!?
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom