Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
hivi karibuni, miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia ugeni mkubwa hapa Tanzania, ujio wa rais wa China, Rais wa marekan, mkutano wa smart pack, lakn cha kushangaza badala ya viongoz wetu kutumia hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Neno sahihi la kiswahili linalo manisha signature
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nadhani waswahili tunachanganya haya maneno.Ninavyojua Kodi inalipwa unalipwa kama pango yaani unapokodi nyumba, chumba,eneo la kufanyia biashara au kama unapokodi kitu kama gari , nk. Na ushuru...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
What is the different between translator and interpreter au kwa Kiswahili nini tofauti ya mkalimani na mfasiri?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Natarajia vyombo vya habari ndio viwe dira ya kuonesha njia katika matumizi sahihi ya lugha, lakini ukisikiliza unakuta ni madudu matupu. mfano mdogo tu ni RADIO ONE! jioni huwa wanajiunga na BBC...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wadau naomba kujua maneno haya huandikwaje kwa kiswahili sanifu!(1)maka na madina miji inayopatikana saudi arabia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hey dears, It is the right time for us to expand our English language competence and performance at our own time by visiting different eng-language course webs. Here is one amongst. Auxiliary...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ndugu wanajamii, Je, kuna kiswahili cha neno ''side effect''? Je, ni sahihi kusema ''side effect''=Madhara au Madhara tarajiwa? Hasa linapotumika katika muktadha wa kitabibu.(yaani Madawa au...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Usifikiri kila anayekuangalia anakutazama tu. Je, kuna tofauti gani kati ya kuangalia na kutazama?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Nimeisikia toka Chanel Ten...WASANII WA TANZANIA WANALALAMIKA KAZI ZAO KUIBIWA KINYUME CHA SHERIA....najiuliza kwa hiyo hawana tatizo wakiibiwa kadri ya sheria?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ati jogoo huwika kumwamsha mwandamu au kuku wenzake? Hili swali halihusu kuku ndege. Hivyo naomba jibu muafaka kwa hii lugha yetu mwanana.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna mdau mmoja huko Faceebook ameshuka msitari na utenzi huu, nami nikaona si vibaya nikiwashirikisha hapa jamvini tukafaidi wote... soma hapa MWIGULU NCHEMBA kKalamu yangu sambamba, Kwako...
10 Reactions
37 Replies
4K Views
wakuu Naomba kuuliza ,je tunaposema mtu wa miraba minne tunamaanisha ni mtu wa aina gan? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari zenu Nimejitokeza hapa kujua jambo moja ambalo watanzania wengi wanalo kuna dhana moja ambayo imejengeka kwa watanzania kuhusu lugha yetu ya kiswahili na misemo, nahau na sentensi zake...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Maasikari wa UN wanasitahili kuitwa mashujaa?Au neno shujaa limepungua makali?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
===========IPI TAMTHILIYA BORA..============== Wana jamvi nauliza, nipate kuelimika Kutwa kucha ninawaza, na ninazidi teseka, Hili jambo lanikwaza, linarudi kila mwaka, Ipi Tamthiliya bora...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, ni sawa kisarufi kutumia neno SALIA kwa binadamu? Mf, majeruhi sita waruhusiwa kutoka huku wengine watatu waki-SALIA katika hospitali ya Aruma
0 Reactions
0 Replies
1K Views
hili neno lina maana gani? ''proceed ex-parte''
0 Reactions
1 Replies
1K Views
naomba mnisaidie tofauti ya maneno haya.. kisia,hisi na tabiri.. asante..
0 Reactions
1 Replies
908 Views
Wakuu, Naombeni msaada wenu kwenye hili na ikiwezekana toeni ushauri wenu kwa huyu Bwn. Shigongo, kwangu kama nimepituka na Watunzi wengine wa hadithi na sinema za Kitanzania na kuzipa majina ya...
0 Reactions
28 Replies
17K Views
Back
Top Bottom