Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Lipi neno sahihi na sanifu kati ya "KIZA" na "GIZA"? nisaidieni wana jukwaa la lugha.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Kuna imani za kale zilizoaminiwa na jamii ktk makabila na tamaduni mbalimbali mfano 1.UKIPALIWA KUNA MTU ANAKUSEMA 2.JOGOO AKIWIKA USIKU UJUE KUNA MTU ATAKUFA 3.MKONO WA KULIA UKIWASHA UTAPATA...
3 Reactions
72 Replies
52K Views
Habari wana JF Naomba tafsiri ya maneno haya Shopping Miss you
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwenu wataalamu wa lugha ya kizungu mimi kila ninapo kutana na hili neno "SCENARIOS"sing'amui kitu jamani naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tumekuwa tukitumia neno la kiingereza 'feedback' pengine kwa kutofahamu neno halisi la kiswahili. Wengine wanasema ni 'mlisho nyuma'. Jumatano nimemsikia mtaalam wa lugha ya kiswahili akieleza...
0 Reactions
6 Replies
24K Views
Critical thinking Empathy Naomba tafsiri ya kiswahili.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
naomba kujuzwa maana ya neno AKIDI, natanguliza shukrani zangu za dhati
0 Reactions
3 Replies
14K Views
mara nyingi nimetafakari haya maneno ya kutohoa kama password kwanini haina neno moja kwa kiswahili badala ya alamaya siri
1 Reactions
8 Replies
50K Views
waungwana nisaidieni tafsirinye neno matamahuluku
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahehe kama Wafaransa, Wahispania na Waitaliano wana lugha nzuri inaayowakilisha jinsia zote yaani "Ke" na "Me" au musculine na femine Kiswahili kimeishiwa lugha ya kutofautisha jinsia mfano...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna hili neno watu wanalitumia sana. Hata kuna kampuni moja ya vinywaji baridi walilitumia sana hili neno, mimi nikabaki na mshangao. Hata hapa JF linatumika sana.Neno hilo ni 'kuboa' na...
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Neno GENUINE linatamkwa kama "JENUINI" au "JENYWINYI"? Kuna tangazo kwenye TV linanichanganya sana!
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Jamani wa kongwe wa lugha ya kimombo nisaidieni maana ya msemo huu kwa kiswahili- WIN WIN SITUATION. natanguliza shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wataalam wa lugha Naombeni msaada wa tafisiri ya neno hili "Unlock your potential"
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kiswahili n uzalendo, kukizungumza n unadhifu kukisoma n ushujaa kukienzi ni uadilifu kukisifu ni uhodari kukidumisha ni umahili kukieneza ni ukombozi. kiswahili ni uzalendo, kukidharau ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za leo wana-jf. Nakutana na hili neno "kubemenda" lakini mpaka sasa sijabahatika kujua maana yake. Kwa anayejua atujuze tafadhali. Asanteni.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nyatabo bwile,Namwandu Nakaunje,Andengisye Andondile,Rutashobya Rugalanzila,Shemahonge shekimunyu.......endelea.....
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Katu hapandi Farasi, yule mzoea Punda, Mpenda kwenda kasi, mwendo pole humshinda, Amezoweshwa fenesi, doriani lamshinda, Sitokalifisha nafsi, nafanya ninayopenda, Loo! Nina wasiwasi, kwa mambo...
5 Reactions
2 Replies
1K Views
Kusahau ni kubaya, kwani kwatia majuto, kwamtia mtu haya, uchekwe kama mtoto, kunapoteza hedaya, yenye kuleta kipato mtu atafuta shoka, kumbe lipo mabegani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom