Kwenye bango inaadikwa 'close' kama unaweza kuona. Kwa Kiingereza 'close' ni mtaa (street au avenue) ambapo watu wanaishi (residential area) na huwezi kupita mtaa hii, yaani, mahali unapoingia mtaa hii ni pale pale unapotoka - huwezi kupita. Kwa nini walitumia neno hili kwenye bango, sijui!
OK. Mkanganyiko kwani "Malanja Cross" liko Ngorongro ambalo hunganisha Ngorongoro Crater na Olbal-bal. Makampuni ya Kitalii yalipenda kutumia jina hilo kutokana na changamoto ya kukatiza hapo. Sasa huyu bwana ndani ya Dar aniita '' Close '" badala ya cross, majina ya Mtaa hutolea na nani??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.