King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 63,446
- 96,599
Niaje Wazeiya wa JLL?
Ebwana kuna msemo nausikia sana kwenye social network yani "KWAFASI YA DWASI" hivi una maana gani na ni lugha ya wapi?