Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,287
- 483
Hallo Wana JF.
Natumai humu ndani kuna linguists,watakao weza kung'amua utumiaji sahihi wa haya Maneno katika lugha hii ya Ki-Ingereza inayosadikika kuwakimbiza Mchaka-Mchaka Watanzani waliowengi ndani ya Jumuiya Afrika Mashariki Kiasi cha kupelekea aibu kwenye kuijieleza kwa Waheshimiwa wa Bunge letu la E.Africa kwa upande wa Members wa TZA.
Ninaomba kujua usahihi katika hizi sentensi Mbili hapa chini zikihusisha Maneno mawili(Engaged & Occupied)
1.The public toilet is Occupied
2.The public toilet is engaged
Tafadhali, nnaomba kujua ni neno lipi lilotumika kiusahihi hapo Juu na ni kwanini. Je kama yote ni(Similar) kwa nn moja tu ndio liwe sahihi zaidi ya mwenzie!?
Thanks.