Huu Msamiati wa Bunge Maalum una Maana Gani?

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Wenyeviti wa kamati mbalimbali za Bunge Maalumu kila wawasilishapo ripoti nawasikia wakisema:'Maelezo zaidi yapo kwenye bango kitita. Bango kitita maana yake nini?
 
Naamini haya ndio baadhi ya maneno yanayoongezwa na na bakita/TUKI. Mi Mkenya, lakini kwa maoni yangu, labda ni attachment ama appendix

Mkuu mwendaomo nami nilikuwa nafikiria maneno hayo ila hapo kwenye attachment Kiswahili ni kiambatanisho.
 
Back
Top Bottom