Habari za majukumu! naombeni maana ya neno hili Ombwe mf.ombwe la uongozi Shukrani mbele
Ombwe humaanisha 'utupu', eneo ambalo halina chochote, hata hewa. Tunaposema ombwe la uongozi tunamaanisha tuna upungufu, au huo utupu, au kusema hatuna uongozi.