Chuo gani Dar es Salaam kinafundisha vizuri kiingereza"English course" cha kuongea na kuandika

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
169
Ndugu zangu hapa Dar ni chuo gani au kituo gani kinafundisha vizuri lugha ya kiingereza 'english course' cha kuongea na kuandika.

Maana naona matangazo mengi sana mitaani, redioni na tv kuhusu english course.

Nataka nimpeleke dogo amalizapo darasa la 7.
 
Back
Top Bottom