Za week end?
Huwa napata wakati mgumu pale napotakiwa kumpa pole mfiwa yani huwa naishiwa maneno ya kuongea,sana sana mtamwambia pole na Mungu ampe faraja,ni kawaida?kuna ambao wako kama mimi...
Ramani ya Lugha za Afrika, picha kwa hisani ya Nations Online
Afrika kuna utajiri mkubwa wa Lugha za kusemwa na binadamu, kati ya hizo kubwa kabisa ni Kiswahili, Lingala, Amharic, Yoruba, Zulu...
Watu wengi sana utawasikia wanakwambia mimi sijui lugha ya mama ni Kisukuma, sijui Kichaga mara mimi sijui Kihehe woote ni Waongo!
Lugha ya mama Tanzania ni Kiswahili nikimaanisha kwamba Lugha...
Ndugu zangu watz nimefikia uamuzi wa kuona kuwa lugha ya kiswahili ni mojawapo ya sababisho la umaskini wetu.Mwezi December nilifanya utafiti wa kupima utajiri wa kuongea lugha ya...
Wadau wa jukwaa hili heshima kwenu. Wadau kijijini kwetu ukisema mate mbele ni matusi haina haja niingie ndani zaidi, mate mbele ni matusi, ila mboga hiyo usahihi wake huitwa tembele haina wingi...
Heshima kwenu wakuu, kuna wengi nawashangaa wakiongea kiswahili wanatia na kingereza, wakiandika ndio balaa nusu kiswahili nusu kingereza mchezo huu upo hapa Jf. Mbona tukiongea kichaga ni hicho...
(Your contributions matters)
WHAT IS AFRICA?
What is Africa, A stranded housefly
In rain season, a dark tomb, hell
Blackmans leprosy, a Whitemans giggle?
What Africa really mean?
The...
The true beauty of oxymoron is we happily accept them as normal english. Consider passage below- It was an open secret that the
company had used a paid volunteer
to test the plastic glasses...
Maneno ya kiswahi mengi yametoholewa mengine yamerekebishwa na kubuniwa na mengi yameongezwa na kutumika visivyo nao
mba msaada wa neno kudadeki kwa wale wanaojua maana.
Shirika moja kubwa la hifadhi ya jamii limetengeneza tangazo la kusifia huduma zake.
Tangazo liko hivi: Mtu mmoja anaingia kwenye nyumba asiyoijua vizuri, na mara anamkuta mwenye nyumba ambaye...
Kwa mara ya kwanza kituo cha BBC ambacho kinarusha vipindi vyake moja kwa moja London toka mwaka 1957 hadi sasa hivi wakati naandika uzi, kwa sasa matangazo yatakuwa yanarushwa dsm Tnzania kwa...
Wanaintelligensia, leo nakuja kifalsafa, hebu tuchemshe akili katika kuambiana maana na matumizi ya maneno hayo hapo juu, ukweli ni upi na uhalisia ni upi.
Asanteni.
Habari wanaJF ningepebda kujua nini maana ya maneno yafuatayo ambayo yanatumika katika mchakato wa katiba mpya.
1-Randama
2- Bango Kitita
Ahsante naomba kuwasilisha.
Mambo. Mimi ni msomaji wa kiswahili na nataka kujua vile watu wanaongea barabarani. Ni noma kusoma hii lugha kisanifu halafu kwenda nje kugundua kwamba inatumika tofauti kabisa. Kwa mfano...