Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
"if" huwa inanisumbua kuitumia kulingana na nyakati tofautitofauti,mwenye utaalam anisaidie please
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwanini WaTZ hutumia kiambishi(?) "to" wanapotaka kukanusha badala ya "ta?" Kwa mfano, atasema, Sitokuja badala ya kusema "Sitakuja." Ni kosa au ni lahja tofauti? Kwa muda mrefu nilikuwa nikifiri...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wana jf wenzangu naomba mnisaidie ni wapi nitaweza kujifunza lugha ya kiarabu?? Kulingana na nature ya mishe mishe zangu, kuna uelekeo wa kufanya biashara na partners ambao wengi wao lugha yao...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari! Hivi mm nataka kujua kuna maana gani ya kusoma kamusi za kiswahili wakati tunaongea kiswahili??
0 Reactions
3 Replies
5K Views
1. Smart phone 2. Android 3. Window phone 4. Data cable 5. OS 6. Touchscreen
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kumekuwa na mkanganyiko mkubwa katika aina za VIRAI/VIKUNDI. Mfano mwandishi James Mdee ana aina mbili tu yaani Vikundi Nomino na Vikundi Vielezi, Oxford university press wao wana kirai...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwenye kipindi cha michezo startv usiku wa 22/11/2014, mtangazaji wa kike mwenye mvuto na swaga za kuvutia alishindwa kutamka ipasavyo jina la timu ya ligi ya uingereza iitwayo 'swansea.'Alitumia...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Je! ni faida zipi wanazozipata wanasaikografia,walimu, wanafunzi na matabibu matamshi pale wanapojifunza taaluma ya Fonetiki inayohusiana na alama za kifonetiki ?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Elephant: The class teacher asks students to name an animal that begins with an "E". One boy says, "Elephant."Then the teacher asks for an animal that begins with a "T". The same boy says, "Two...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu, naomba mnisadie tofauti kati ya muda na wakati kuna jaaa kapost kuwa kila kitu kina muda na wakati wake mi nikamuomba anipe kidogo tofaut mi sikumuelewa basi ye kanimind
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Binafsi ningependa kujua swala moja tu, kila mtu humu ndani anajua jinsi lugha ya Kiswahili inavyo tumika (kutamkwa/kuzungumzwa) mara nyingi na makabira ya bara na baadhi ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Sisi kikwetu tunaita Lung'ombe Wewe je?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatazi.................? ...........................
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakubwa Hivi sentensi '''' wewe ni wa ngapi kwenu kuzaliwa''' inatamkwa vipi kwa lugha ya kiingereza??
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ukiangalia vipindi vya wenzetu wanaotumia kiiengereza, vipindi vya televisheni vya moja kwa moja hukuta wameandika neno LIVE kwa juu pembeni na mara nyingi ni upande wa mkono wako wa kushoto ukiwa...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
wasomi wa kiswahili je ni sahihi kusema mfn. Dada katembea uchi wa mnyama???? au Dada katembea uchi wa binadamu??? tumezoea kusema uchi wa mnyama je ni sahihi??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nini maana ya disko? Maana wengi husema maneno haya 'kumbi za disko'
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nini maana ya disko? wadau maana tunaita kumbi za disko
0 Reactions
0 Replies
994 Views
naomba wanajukwaa mnisaidie tofauti kati ya hayo maneno mawili Kuonesha na kuonyesha,pia kuona na kutazama
1 Reactions
6 Replies
8K Views
Back
Top Bottom