Utunzi huu ulikikuwa maalumu kwa kidato cha nne shule ya sekondari Mtombozi iliyoko mkoani Morogoro. nimejaribu kufuata nyayo za Mabala Richard, sina hakika kama nimeweza kufata nyayo zake, majaji...
Kuna tangazo linarudiwarudiwa sana kwenye kituo cha televisheni ya star (startv).Tangazo linahusu ubora wa king'amuzi cha continental.
Anayekisifia king'amuzi hiki anatoa maneno mengi ya sifa huku...
SEHEMU YA KWANZA Masimulizi ni zaidi ya tafakari.Sikushangazwa kwani hata michirizi ni zaidi ya mistari iliyonyooshwa kwa rula na mjuvi wa taaluma ya uchoraji kwani hutumia ustadi wa hali ya juu...
ILIYO SHEHENI MAUDHUI YA KUFUNZA YA KUTOSHA, UZUNI., VICHEKESHO NA HISIA ZILIZOBEBWA NA WAUSIKA MBALIMBALI AKIWEMO MR.CHEICHEI MWANADADA CPRO, DR. LADYA NA WENGINE WENGI. HII NI SEHEMU NDOGO YA...
Umofia Kwenu wana JF,
Escrow ni neno ambalo limetoolewa kutoka lugha ya kifaransa,ni neno linalojitegemea halihusiani na tegeta wala PAP ni neno la kiingereza linalomaanisha "Fedha,mali,mkataba...
Huu wimbo huwa si-elewagi anazungumzia nin ukianza audio, pamoja na video...
Song:Tubonge
Artiste:Dr.Jose Chameleon
lable:Leon Island
Language:Swahili
Tubonge ,Chameleon...
nini maana yaneno hili nilimsikia mbunge akilisema eti ni hamu je ni hamu ya nini isijekuwa ni matusi maana wabunge hawa dizaini ya lusinde wamepinda
===========
===========
Salaam wanaMMU...
Katika Kitabu cha Tito katika tafsiri ya Swahili Union Version, tunaona vifungu hivi:
Utauwa badala ya Utawa
Nalikuacha badala ya nilikuacha
Kuna yeyote anayeweza kuniambia hizi na lahaja za wapi?
Wana J-F. mimi ninajua kiswahili na kiingereza kidogo. Ninajua Raisi akiwa mwnaume mkewe ni 'First Lady' kwa kiingereza. Iwapo Raisi ni mwanamke mumewe ataitwaje kwa kiingereza?
wataalamu wa kiswahili nielewesheni wingi wa neno uwanja ni nyanja au viwanja,neno hili (NYANJA) utumiwa na waandishi wa habari utasikia na sasa ni nyanja za kibiashara au nyanja za kimataifa...
Nimekua nikisumbuliwa sana na hili jina Albino wakati tangu nazaliwa karibia nusu karne sasa, Neno sahihi la kiswahili ni Zeruzeru. Sijaona ubaya wa neno hilo jamani. Albino sio neno la kiswahili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.