mr iko press
Member
- Jan 3, 2015
- 56
- 3
Habari zenu wana lugha. naomba msaada kuhusu tofauti kati ya JINSI na JINSIA, ahsanten
Mkuu, kwa uelewa wangu ni hivi :- HOW (jinsi) and SEX (jinsia)Habari zenu wana lugha. naomba msaada kuhusu tofauti kati ya JINSI na JINSIA, ahsanten