JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi.
Kizimkazi jina linamanisha katika...
TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953
Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika.
Leo...
Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes.
Angalia video...
Mtu unayemzungumzia ni D.B. Cooper, jina la kufikirika alilopewa na vyombo vya habari, ambaye alihusika na tukio maarufu la utekaji nyara wa ndege mnamo mwaka 1971. Tukio hili limebaki kuwa moja...
Habari zenu wakuu.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa wa historia hasa linapokuja suala la uwezo wa Mwafrika kutokupewa sifa zinazotakiwa kama ilivyo kwa hayati J.K. Nyerere na Nelson Mandela. Afrika...
Je unafahamu kua nchi hizi mbili zilishawai kupigana vita???
Nani alishindwa??
Je nchi hizi zitakuja zitapigana tena??
Upi utakua mwisho wa hizi nchi mbili hapa Africa...
Habari za wakati huu ndugu zangu wa humu JamiiForums.
Kulikuwa na uhalali gani wa Chief Mkwawa kutambulika kama "shujaa"? Kamwe hakuna askari anayeweza kuitwa shujaa kwa kuogopa adui kisha kujiua...
Kichapo walichochezea hakikuwa cha Kawaida; mnamkumbuka Muhammad Zia-Ul-Haq wa Pakistan, wakati huo alikuwa Brigadier akiwa huko jordan kuanzia 1967 na mwaka huo 1970 aliisaidia serikali ya jordan...
HISTORIA YA KANISA KATOLIKI TANZANIA
Jubilei ya Miaka 150 ya uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili
KANISA
Jubilei ya Miaka 150 ya Uinjilishaji Tanzania: Furaha ya Injili
Kanisa lililo hai ni...
Ni hivi, watu hawa wawili ni miongoni mwa viongozi maarufu zaidi katika orodha ya Marais wa Marekani. Abraham Lincoln na John F. Kennedy kila mmoja aliongoza Marekani na kupitia baadhi ya...
Miaka mia iliyopita kuna mpiga picha maarufu kule urusi aliitwa Karl Bulla alizaa mtoto naye akarithi fani ya baba yake ya photo journalism akiitwa Viktor Bula. Sasa huyu Viktor Bulla maudhui ya...
BURIANI MOHAMED MRISHO
Kifo hakizoeleki.
Taarifa ya kifo cha Mohamed Mrisho nimekisoma kutoka ukurasa wa Vuli Yeni akiandika kutoka Johannesburg.
Sijui hata nianzie wapi.
Mohamed Mrisho alikuwa...
WAIRAQ au Wairaki ni kabila kubwa linalozungumza lugha jamii ya Wakushi na linalopatikana Mkoa wa Manyara wilaya za Mbulu, Babati, Hanang na Mkoa wa Arusha katika wilaya ya Karatu.
Watu wa kabila...
Hii ni simulizi nzuri kuhusu vita vya kukomboa kisiwa cha Anjouan toka mikononi mwa waasi.
Majeshi yetu yalikuwa chini ya uongozi wa Brigedia Jenerali Daniel Igoti ambaye alikuwa akisaidiwa na...
Isaac Maliyamungu (The Killing Machine) alikuwa askari mtiifu wa Rais wa Uganda Idi Amin Dada, alipewa mamlaka ya kuua,kuteka,kutesa na kupoteza yeyote isipokuwa Amin na familia yake na alifanya...
I salute you kinsmen.!
Naona kumekuwa na mjadala wa vuta nikuvute kwa pande mbili hasa kwenye muelekeo wa kidini zaidi .
Mwelekeo huu ukihusu zaidi waarabu na wazungu na kujikuta tukikaa makundi...
Miaka 30 baadae, nashawishika kuwa wanafunzi wale 62 wa miaka kati ya 6 hadi 12 katika shule iliyopo Zimbabwe waliona vitu ambavyo havikuwa vya dunia hii.
Ilikuwa ni asubuhi ya saa nne tarehe 16...
IFAHAMU HISTORIA YA WASABATO NA AIBU
Aibu inayofichwa ndiyo hii ifuatayo:
Ni hivi ndugu zanguni, kwa kuiweka bayana historia ya Wasabato, tuambatane katika kuwaelewa watu wanne ambao hutajwa...
Leo nimewaletea picha na video ya tukio mojawapo lililoleta ukakasi/na kuwaumiza wamarekani weusi miaka nyuma NCHINI MAREKANI, George Stinney Jr black America alikuwa kijana mwenye umri mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.