Hii nimeipata sehemu, jioneeni wenyewe.
Tumeambiwa na Kusomeshwa kuwa Waarabu ndio walioanzisha Biashara haramu ya utumwa Nchini Zanzibar (Na Waarabu hili Walikataa katakata). Leo Wazungu...
Introduction / History
The Kwere people group is a Bantu tribe who migrated from Mozambique to Tanzania's coastal area north of Dar es Salaam about AD 1000. They maintain trading relationships...
Ndugu Watanzania kwa kuwa tumeruhusu tofauti ya udini kukita mizizi miongoni mwetu kwa mgongo wa siasa hatuna budi kukaa na kujiuliza nini watu wanataka. Kwanza na tutazame jinsi gani dini hzi...
Vita vya Israeli vimekuwa sehemu ya historia ya eneo la Mashariki ya Kati tangu kuanzishwa kwa taifa la Israeli mnamo mwaka 1948. Hapa chini ni muhtasari wa baadhi ya vita muhimu vilivyohusisha...
Baada ya kumaliza kitabu cha Maisha ya Malcom X sasa na tusome kitabu kuhusu historia ya Tanganyika. Vitabu hivi na vingine vingi unaweza kuvisoma bure ndani ya app ya Maktaba Sauti
UTANGULIZI...
Katika video anaelezea kwamba jambo la kwanza lililotokea baada ya Mapinduzi printing press zilizokuwa zinatengeneza vitabu vya Kiislamu vilivunjwa.
Ipo katika YouTube
Hausemwi ila huu ndiyo...
Part 1:
Ukisoma au kusikia balaa lililomwandama Alexander Litvinenko hadi kifo chake, waweza kudhani ni simulizi kutoka kwenye filamu au riwaya flani. Litvinenko alikuwa shushushu wa shirika la...
NI OPERATION JERUSALEM, ILIYO MUINGIZA IKULU YA AL-SENUSIA, NA NI OPERATION BENGAZI (UNIFIED PROTECTOR) ILIOMFURUSHA IKULU KIFEDHEHA; MUAMMAR GADDAFI KIONGOZI ALIYE IJENGA NCHI KUTOKA JANGWA MPAKA...
UDOGONI DAR ES SALAAM 1960s
Kila nipitapo Maktaba hukutana na picha zinazonikumbusha mengi.
Picha hii alinipa Abdallah Mgambo miaka mingi ilioyopita.
Ilipigwa kwenye picnic mwaka wa 1965.
Kulia...
BURIANI MZUNGUMZAJI WANGU ABUU SHARIFF
Taarifa ya msiba wa Abuu (na hivi ndivyo alivyokuwa akifahamika Dar-es-Salaam) nimeipata kutoka Tanga kwa shariff mwenzake, Shariff Mohamed Yahya.
Wote...
MTEGO WA MWINDAJI ULIPOKAMATA CHUI
Bahati nzuri familia zote mbili za Bi Khadija Baramia na Captain Meki Abdallah Ali Kayaya zipo.
Meki ni mchanganyiko wa Wamanyema upande wa kiumeni na...
FAHAMU MAJINA YA SEHEMU ZA MIJI MAARUFU TANZANIA NA MAANA ZAKE.
1. KOLOMIJE
Inasemekana mahali hapo alifika Mzungu aliyeitwa James, hivyo huyu Mzungu akataka watu wamwiite "J" badala ya kutamka...
MTAA WA SALUM ABDALLAH WA CUBAN MARIMBA CHA CHA BAND
Morogoro wamemuenzi mwanamuziki maarufu Salum Abdallah Yazidi kwa kumpa mtaa ambao yeye aliiishi katika uhai wake.
Kumbukumbu yangu ya Salum...
Wanafunzi wa kizazi hiki wanakosa mambo muhimu hususani kujifunza kuhusu uzalendo na utaifa wao.
Miaka ya 90 kulikuwa na nyimbo nyingi ambazo wanafunzi waliimba shuleni. Mnakumbuka wimbo huu...
KITABU CHA KWA BAMKWE KINAPORUKA ANGANI NA KUTUA
Mikono inamtetema.
Hii "tetema," ni msamiati wa sasa.
Sie watu wa kale tunasema mikono inamtetemeka.
Kwa nini nasema mikono inatetemeka kwa...
NYIMBO MOYO MADHULUMU NA HISTORIA YA KWA BAMKWE
Siku ya kwanza alipouimba mwimbo huu "Moyo Madhulumu," hadharani marehemu Khadija Baramia hakuweza kumaliza katikati alianza kulia na hakuweza...
''MADHULUMU MOYO'' KHADIJA BARAMIA KATIKA KITABU "BARAZA YA MAJESTIC NA MACHINJIONI KWA BAMKWE"
Katika mahojiano na Mohamed Ghassany kuhusu kitabu cha Ibrahim Hussein, ''Baraza ya Majestic na...
Wimbo wa taifa wa Tanzania "Mungu ibariki Afrika" ulibuniwa na mtunzi kutoka Afrika Kusini Enoch Sontonga.
Wimbo huu asili yake ni wimbo Nkosi Sikelel’i Afrika aliotunga mwaka 1897.
Tafsiri ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.