Mwaka 1850 wakazi waliokuwa wakiishi katika pwani ya afrika mashariki kuanzia mto juba nchini Somalia mpaka msumbiji, walikuwa wakiimba mashairi yao yenye kusifu viongozi wao na familia zao...
Inasemekana marehemu huwa haandikagi usia wa uongo maana anajua akishakufa habari yake imeisha na uongo hautamsaidia kitu
Je, kuna ukweli wowote kuhusu hili?
Tusubiri uchunguzi wa kitaalamu
Shambulio la Bomu Dhidi ya Balozi za Marekani (Kenya na Tanzania)
Soma pia:FBI walivyomdaka Thomas Lyimo 1998
Imepita miaka 25 tangu shambulio la bomu la ubalozi wa Marekani jijini Nairobi na Dar...
Mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kutumia na kukuza silaha za nyuklia umekuwa suala lenye mvutano mkubwa kimataifa kwa zaidi ya miongo miwili. Nchi hiyo, chini ya uongozi wa Kim Jong-un na baba...
Mgodi wa Mwadui 🧐
Williams Diamond Limited (WDL)
Wafanyakazi wa sorting(wanaochambua madini) wakimaliza kazi walikuwa wakikaguliwa bila nguo 😢
Shinyanga tumetoka mbali sana😢
Yaliyopita...
Meli ya RMS Titanic inaendelea kuoza polepole chini ya bahari tangu ilipozama mnamo 1912. Kwa sasa, Titanic ipo umbali wa mita 3,800 chini ya uso wa Atlantiki ya Kaskazini. Korosi, viumbe vya...
Neno mtemi asili yake ni kiongozi wa ufyekaji.
Zamani kwenye jamii ya Wasukuma na Wanyamwezi, vijana wakifika umri wa kujitegemea walikuwa wanachagua kiongozi na kwenda porini kufyeka eneo la...
KITANDA CHA SEMADARI
Picha hiyo hapo chini ni picha ya kitanda ambacho nimeamka leo asubuhi.
Jana usiku nilipopanda kulala sikukiangalia vizuri kwa mchoko wa safari.
Kitanda cha semadari...
Kwa miaka mingi suala hili lilikuwa ni SIRI.
Lakini ktk zama hizi za utawandawazi habari hizi zimeanza kujitokeza.
Kuna makala iliandikwa na Makwaia Kuhenga kuzungumzia tukio hili.
Jenerali...
Huyu ni mmoja wa wakuu wa vikosi vilivyopigana vita vya Kagera.
Kwa miaka mingi walikuwa wakitaka wakuu wa brigedi zilizopigana vita vya Kagera, lakini ndani ya brigedi hizo kulikuwa na vikosi...
Je unakumbuka mgombea wa zamani wa Urais wa Kenya, Mohammed Abduba Dida (49)?
Dida anatumikia kifungo cha miaka saba katika jimbo la Illinois nchini Marekani kwa makosa la kumfuatilia mtu na...
Sijali Sijaona anamzungumza baba yake.
SIJALI SIJAONA ALIPOTEMBELEA MAKTABA
Sijali Adam Sijaona mtoto wa Lawi Nangwanda Sijaona ametembelea Maktaba na tumejaliwa kufanya mazungumzo kuhusu baba...
JE, wajua au umepata kusimuliwa asili ya jina Kizimkazi? Mzee Said Ramadhan, mwanahistoria mahiri kutoka Kizimkazi, yupo hapa kukupa maana na asili ya Kizimkazi.
Kizimkazi jina linamanisha katika...
TUNDU LISSU AKUMBUSHA UCHAGUZI WA PRESIDENT WA TAA KATI YA ABDULWAHID SYKES NA JULIUS NYERERE 1953
Kila uchao tunakumbushana na kuazima ukurasa kusoma kutoka historia ambayo ilifutika.
Leo...
Katika mambo yaliyotokea yakawatisha waliokuwa wamemzunguka Julius Nyerere ilikuwa siku alipougua ghafla na kudhaniwa kalishwa sumu katika chakula nyumbani kwa Abdulwahid Sykes.
Angalia video...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.