Jukwaa la Historia

On JF:

Kuhusu Kupotea kwa Kanda (Tapes) za Al Jazeera Mohamed Said anaeleza tukio la kusikitisha ambapo mahojiano yake na kituo cha Al Jazeera hayakuwahi kurushwa hewani baada ya kanda hizo kupotea...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anatoa uchambuzi wa kina kuhusu mzozo wa kijeshi kati ya Iran na Marekani, akiangazia mbinu za kivita, ukimya wa kimataifa, na mabadiliko...
0 Reactions
5 Replies
197 Views
kuwa mara nyingi shujaa huyu anatajwa kwa jina moja tu la "Mkomanile," lakini jina lake halisi alikuwa Khadija Mkomanile. Anasikitika kuwa katika maadhimisho na maonyesho mengi, jina lake la...
8 Reactions
97 Replies
1K Views
Ndugu yangu mmoja kasoma taazia niliyomwandikia Dr. Mayanja Kiwanuka (Ahmed Kiwanuka) na baada ya kusoma akaniletea picha ya kibao cha Mtaa wa Kiwanuka ulioko Upanga na akanieleza kuwa Mtaa wa...
0 Reactions
1 Replies
642 Views
Pichani ni Mzee Bilali Mafumu Kalindula, mmoja wa wazee walioshuhudia enzi za utawala wa Kijerumani katika Tanganyika na anayekumbukwa kwa kushiriki katika shughuli za ujenzi wa meli maarufu ya...
4 Reactions
1 Replies
143 Views
Zikiwa zimesalia siku 27 kuifikia Agosti 14, 2026 ili kufanyika hafla kubwa ya Wangoni Traditional Party, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dk. Emmauel John Nchimbi...
0 Reactions
1 Replies
117 Views
Kuhusu Dome Okochi Budohi (Mkenya aliyepigania Tanganyika) Mchango wake katika TANU: "Dome Okochi Budohi... kadi yake ya tano... ni mtu alikuwa anajua kila siku na mimi nimepata mengi...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
Jina lake halisi ni Bushiri Salum au Salum Bushiri... Hilo ndio jina lake halisi". Ingawa katika vyanzo kama Wikipedia na mitandao mingine anajulikana kama Abushiri au Bushiri al-Harthi, mjukuu...
1 Reactions
0 Replies
119 Views
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, neno "maandamano" na harakati za kudai mabadiliko zimezungumziwa katika mazingira mawili tofauti: maandamano ya wananchi katika nchi za Ghuba dhidi ya kambi za...
1 Reactions
7 Replies
212 Views
Kulingana na vyanzo ulivyotoa, mwanahistoria Mohamed Said anasimulia kisa alichopewa na Mohamed Hamisi kuhusu Sheikh Said Omar Abdallah alipokuwa Ulaya akifanya kazi za kulingania dini (dawa)...
1 Reactions
2 Replies
117 Views
KIPINDI CHA RADIO KWA WANAFUNZI: VIONGOZI WA AFRIKA Kipindi hiki akitangaza Mkurugenzi mwenyewe wa TBC Martin Kiama. Niko Majengo Middle School, Moshi mwaka wa 1963. Kipindi kinafunguliwa na...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Kwa kipindi kirefu kitabu cha Abdul Sykes kilikuwa hakipatikani kwa kuwa nakala zilikuwa zimekwisha (out of print). Hiki ni kitu cha kawaida kwa kitabu kukosekana. Kitabu cha Abdu Sykes ni...
5 Reactions
35 Replies
611 Views
Baadhi ya vitabu vya historia ya Zanzibar vilivyopo Maktaba Huwa nasoma nyuzi hapa JF mtu anaandika kuwa John Okello ni Baba wa Taifa la Zanzibar. Anaishia hapo. Ukimuuliiza kama anajua historia...
1 Reactions
13 Replies
232 Views
Wakuu nawaambia Jambo Moja kabisa la UHAKIKA bila mbambamba. SAMIA na Genge lake, wajifarague vipi, waruke, wake, wasimame ,wakimbie, wapae, yaan Hizo zote ni mbwembweeena HAZIWASAIDIII KITU...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
CCM na Genge lao Wana ujinga wanauita "MARIDHIANO" . Huuuu ujinga, ndio ambao NCHIMBI, anaupiga Vita . Anawaambia Watanzania, 'Msiingie kwenye huo mtego'
2 Reactions
2 Replies
122 Views
https://youtu.be/jOVbRE9elZ4?si=34lbSSlBJP_1P8-O
1 Reactions
13 Replies
171 Views
Utangulizi Kalamu ya Mh. Ally Saleh haiandiki bali inazungumza. Siku zote ninapomsoma Alberto siishi kushangazwa na uwezo wa fikra zake na jinsi anavyojua kuchagua maneno ya kutumia kumfanya...
4 Reactions
22 Replies
6K Views
Ipi ilikuwa siri iliyomzuia Salim Ahmed Salim kupata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania mara mbili, licha ya kuwa na wasifu (CV), uzoefu na sifa zilizotajwa kuwazidi wapinzani wake katika mchakato wa...
2 Reactions
5 Replies
209 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…