SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDERICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947
Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania January 10, 2018 0...
SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA
Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na...
Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu.
Huyu mama alipenda udaktari...
Ilikuwa tarehe 19 July mwaka 64AD. Moto mkubwa ulianza kuwaka karibu na mtaa uitwao Circus Maximus, katika jiji la Rumi. Kwa sababu jiji la Rumi kwa miaka hiyo lilikuwa limejengwa kwa vitu ambavyo...
Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu...
Nami Josephat Keraryo Nyambeya.
Kikundi cha Dola ya Kiislamu maarufu kwa jina la Islamic State of Iraq and Levant (ISIL), Islamic State of Iraq and Syria (ISIS), Islamic State (IS) pia hujulikana...
AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA
Lupweko said:
Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya...
Ambapo ukiangalia muundo wake wa nje na ndani + mosaic and design ni kutoka Roman Catholic Church or Byzantine empire.
Most of Muslim hawajui hii historia na watakupinga sana ukimwambia kwa kuwa...
BIBI TITI MOHAMED NA LUCY LAMECK
Kushoto ni Bibi Titi Mohamed na kulia ni Lucy Lameck wakiwa China na Mao Tse Tung.
Hii picha kaniletea dada yangu mmoja ambae aliona nimeweka picha ya safari ya...
Wakuu nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kama mada isemavyo,baba Askofu Dr Moshi ni Mkuu wa Kwanza wa KKKT Tanzania ambapo aliongoza taasisi hiyo ya pili kwa ukubwa(ya Kwanza...
Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza...
France-Albert René maarufu kama The Boss.
Alikuwa Rais wa pili wa visiwa vya[nchi ya] Seychelles aliyehudumu katika uongozi wake toka mwaka 1977 mpaka 2004.
Aliitwaa nafasi hiyo kupitia...
Nchi ya Rwanda inaadhimisha miaka 30 tangu kutokea kwa mauaji ya kimbari dhidi ya watutsi mwaka 1994.
kumbukumbu inayofanyika Jijini Kigali na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali kutoka barani...
Leo imetimia miaka 80 tangu yatokee mauaji ya askari wa kiafrika waliotoka kupigana upande wa Ufaransa katika vita kuu ya pili ya dunia.
Mauaji hayo yalitokea tarehe 1 Disemba mwaka 1944 katika...
IDHAA YA KISWAHILI YA BBC 1991
Nimetanguliza picha ya Chama Omari Matata ambayo nimeipata kwenye Dira ya Dunia siku chache zilizopita.
Ilikuwa kwenye kipindi cha Dira ya Dunia ambacho Salim...
''Hii ni London. Leo kwa mara ya kwanza kabisa BBC inawapa salamu wakazi wa Afrika mashariki kwa lugha yao. Asalaam Aleikum,"sauti tulivu ya Oscar Kambona ilisikika hewani miaka 65 iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.