Jukwaa la Historia

On JF:

https://youtu.be/djuL8PYQHMA?si=1e_2imiIOpk3qtC2
0 Reactions
0 Replies
270 Views
Nahitaji kufahamu historia ya aliekuwa mlinzi mkuu wa mwalimu jk nyerere PETER DM BWIMBO
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Anaejua vitabu vinavyo zungumzia biashara ya utumwa Africa Mashariki kipindi cha ukoloni .
0 Reactions
3 Replies
470 Views
Samora Machel alikuwa Rais wa kwanza wa Mozambiki na kipenzi sana cha Rais Nyerere na kaunda. Alifariki kwa ajali ya ndege mwaka 1986 akitokea Lusaka kurudi Maputo na ndege yake (Tupolev Tu-134)...
0 Reactions
1 Replies
754 Views
https://youtu.be/Xk_wM5zg6lc?si=fcr5XUGkUP2Xy7Hr
2 Reactions
7 Replies
692 Views
Dameski, mji mkuu wa Syria, ni mojawapo ya miji mikongwe zaidi duniani iliyokaliwa kwa mfululizo. Historia yake inajumuisha matukio mengi ya vita na migogoro, yakiangaziwa katika vyanzo vya...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
BAKWATA Mwanza wamefanya khitma kuwarehemu wake kwa waume waliopigania Uhuru wa Tanganyika. Bi. Mwajame Dossa Aziz atoa shukurani kwa BAKWATA kwa kumremu baba yake na wengine waliopigania uhuru...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
https://youtu.be/v4f9Y3QKpak?si=ZVDx2ZELIucxRASJ
2 Reactions
0 Replies
505 Views
Leo tunapoadhimisha miaka 63 tangu Tanganyika kupata uhuru wake mnamo Desemba 9, 1961, tunakumbushwa juu ya safari ya kujitawala, mshikamano, na kujenga taifa lenye matumaini. Ni siku ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Taifa letu linaugua Nchi tofauti tofauti zina matatizo mbalimbali ikiwemo njaa, vita nk. Sisi kama watanzania tuna ugonjwa wa chuki. Sisi hjipambanua kama taifa lenye amani, huku viongozi wetu...
0 Reactions
2 Replies
347 Views
SIKU BABU YANGU SALUM ABDALLAH ALIPOMKABILI FREDERICK MCHAURU KATIKA MGOMO WA WAFANYAKAZI WA TANGANYIKA RAILWAYS TABORA 1947 Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania January 10, 2018 0...
2 Reactions
2 Replies
508 Views
SAFARI YA MIAKA 60 NDANI YA CHAPISHO LA PICHA ZA HISTORIA YA TANZANIA Leo Maktaba imebahatika kutembelewa na mwandishi wa kujitegemea ambae ameandika na anaendelea kuandika sasa kwa miaka na...
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Kwa wana JF ambao wako kwenye miaka yao 50 kwenda juu, watakuwa wanamkumbuka Helena mwanamke habithi mke wa rais wa Romania aliyeuawa pamoja naye Nicolae Causescu. Huyu mama alipenda udaktari...
2 Reactions
4 Replies
548 Views
Ilikuwa tarehe 19 July mwaka 64AD. Moto mkubwa ulianza kuwaka karibu na mtaa uitwao Circus Maximus, katika jiji la Rumi. Kwa sababu jiji la Rumi kwa miaka hiyo lilikuwa limejengwa kwa vitu ambavyo...
11 Reactions
18 Replies
3K Views
https://youtu.be/dQtHPdH0THc?si=ubm8AfL6bpvLrT5h
0 Reactions
0 Replies
298 Views
Baada ya vita ya dunia mwaka 1919, Bara na Zanzibar pamoja na Kenya na Uganda zilikuwa chini ya himaya ya mwingereza ingawa kwa mikataba tofauti. Kuanzia hapo nchi hizo zilianza kutumia sarafu...
1 Reactions
7 Replies
11K Views
Wakuu leo nina swali Swali: nani anaweza kutupa historia ya pesa?
9 Reactions
112 Replies
12K Views
Nami Josephat Keraryo Nyambeya. Kikundi cha Dola ya Kiislamu maarufu kwa jina la Islamic State of Iraq and Levant (ISIL), Islamic State of Iraq and Syria (ISIS), Islamic State (IS) pia hujulikana...
4 Reactions
14 Replies
8K Views
AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya...
3 Reactions
56 Replies
3K Views
Back
Top Bottom