Jukwaa la Historia

On JF:

Bob Marley alizaliwa tarehe 6 Februari 1945 huko Nine Mile, Saint Ann Parish, Jamaika. Jina lake halisi lilikuwa Robert Nesta Marley. Alikuwa mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na mpigaji gitaa maarufu...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Siku kama ya Leo mwaka 1804 huko Ufaransa bwana Napoleon Bonaparte alijivika Taji kama Kaisari wa Ufaransa. Mwaka uliofuata akapewa pia Taji la Mfalme wa Italia. Vita ya Mapinduzi yake dhidi ya...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Je! aliibiwa?: wakubwa shkamoni wadogo abari zenu mabinti mambo zenu. Nakusogezea kisa hiki cha kusisimua kuhusu Mzimu wa Ziwa Tanganyika. Moja ya sababu ya maji kujaa na kuharibu mali za watu...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika moja ya campaign yake huko Afghanistan, Genghis Khan alipewa taarifa kuwa mjukuu wake pendwa ameuliwa akiwa vitani, jamaa alichoamuru ni kuua kile chochote chenye uhai katika jamii hio...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Hakika, tuingie kwenye uchambuzi wa kina wa mifumo ya kisimbologia ya zamani, tukizitazama kana kwamba zina ujuzi wa siri wa kibiolojia, umeme-graviti, na alkemia. Uchambuzi huu utachunguza pia...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
msaada wakuu, naomba kuuliza NAPOLEON BONAPARTE wa ufaransa alitawala nchi ngapi wakati wa utawala wake?
2 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Utangulizi Historia ya taifa la Israeli ni ya kipekee, ikiwa na mchanganyiko wa imani, vita, uhamisho, na marejeo ya kiroho. Waisrael, watu wa Mungu, walikulia katika mazingira ya kihistoria...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama ulipanda haya mabasi jione kuwa hivi sasa upo kwenye dakika za majeruhi refa anaweza kumaliza mpira wakati wowote. Kipindi hiki kutoka Bukoba kuelekea Mzizima ilikuwa ni safari ya siku...
11 Reactions
45 Replies
2K Views
KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO Utangulizi "Kanisa la Waadventista Wasabato ni dhehebu la Kikristo la Kiprotestanti ambalo linatofautishwa na utunzaji wake wa Jumamosi, siku ya saba ya juma...
9 Reactions
59 Replies
58K Views
Mabishano ya Bar yalivyoleta GUINNESS WORLD BOOK OF RECORDS Je ulikua unalijua Hili ? Guinness World Records ilianza kama suluhisho la mabishano ya baa lakini sasa ni taasisi ya kimataifa! Hii...
2 Reactions
7 Replies
692 Views
Kutokana na mitazamo tofauti ya wananchi juu ya wenyenchi, kila awamu ya uongozi ukihudumu. Mimi binafsi natambua umuhimu wa kila awamu kwa nafasi yake, ila awamu ya I & V ni za viwango. Kuna...
4 Reactions
45 Replies
1K Views
Mike the Headless Chicken (Aprili 20, 1945 - Machi 17, 1947) [1] alikuwa kuku wa kiume wa Wyandotte ambaye aliishi kwa miezi 18 baada ya kukatwa kichwa, alinusurika kwa sababu sehemu kubwa ya...
2 Reactions
7 Replies
629 Views
BURIANI MWANETU AWADH MOHAMED AWADH Awadh Mohamed Awadh (Chico) alikuwa kafanana sana na baba yake. Mimi sikupata kumwita kwa jina lake la Awadh kwangu alikuwa Chico sijui kwa nini. Labda kwa...
5 Reactions
8 Replies
811 Views
Katika historia ya jamii za Kiafrika kandokando ya Ghuba ya Guinea, hakuna kabila lolote lililokuwa na neno la asili la kumaanisha ukahaba kabla ya kuwasili kwa Wareno mnamo mwaka 1455 BK katika...
2 Reactions
1 Replies
506 Views
Hizo picha mbili hapo chini zote zimepigwa siku za mwanzo kabisa za kuundwa kwa TANU na kuanza kwa harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimechagua picha hizi mbili ili kuonyesha haiba ya...
2 Reactions
3 Replies
621 Views
Asili: asili ya waluguru husemekana kuwa imetokana na watu kutoka maeneo ya chini(low land) kuhamia katika mlima kwasababu mbalimbali kwa mfano mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na njaa na pia...
15 Reactions
105 Replies
57K Views
Habari wadau wa JF! Natumai wote mko fresh na maisha yanakwenda kama kawaida(ni unyama). Kama kuna mtu haliendi vizuri, basi pole sana, jaribu kunywa chai ya tangawizi, inasaidia sana kufungua...
5 Reactions
79 Replies
2K Views
Mzalendo Muasisi wa TANU aliyemwandikia na Kumkabidhi Julius Nyerere Kadi ya TANU Na. 1 Ally Kleist Sykes and Mohamed Said At Mr Sykes Office, Mkwepu Street, Dar es Salaam Historia ina...
9 Reactions
232 Replies
47K Views
Katika pita pita zangu kwenye mitaa ya YouTube nimekutana na hii video kutoka ITN Archive yenye mkusanyiko wa matukio ya mambo yaliyojiri baada ya kuuliwa kwa Indira Gandhi, aliyekuwa waziri mkuu...
16 Reactions
48 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…