Jukwaa la Historia

On JF:

Leo tujikumbushe kuhusu Askofu Luwum, aliyemnyima usingizi Dikteta Iddi Amin Dada huko Uganda. Janani Luwum alikuwa mmoja wa viongozi mashuhuri wa kidini nchini Uganda, na anaheshimiwa kama...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
SANI ABACHA, MBABE WA MAPINDUZI NIGERIA, UTAWALA WAKE ULIGUBIKWA NA UFISADI, MAUAJI,UKATILI NA UKIUKAJI MKUBWA WA HAKI ZA BINADAMU: LAKINI NI KIPINDI CHAKE NIGERIA ILISHUHUDIA MAGEUZI MAKUBWA YA...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
October 26, 1979 huko Korea Kusini kulitokea kisa cha ajabu cha mkuu wa ujasusi wa shirika la Korea Kusini(KCIA) Kim Jae-gyu kumtwanga risasi mbili boss wake rais wa Korea Kusin Park Chung-hee na...
3 Reactions
9 Replies
924 Views
Vijana wana vipaji vya ubunifu wa hali juu kupita kiasi. Kipindi nilichofanya mada ilikuwa nyingine kabisa lakini kipindi kilipokwenda hewani na kutazama picha iliyowekwa hawa vijana niliwavulia...
3 Reactions
4 Replies
469 Views
https://youtu.be/Z3f-8I6ALVQ
1 Reactions
4 Replies
309 Views
Unadhani uchumi wa Bara la Africa ungekuaje Siasa ingekua ya namna gani kutokana na utofauti wa rasilimali, lugha na dini Je jina gani lingekua sahihi United States Of Africa (USAf). Jina linalo...
1 Reactions
1 Replies
283 Views
Wakuu! Wale ambao tulikuwa humu Jamiiforums kipindi cha mwaka 2011 na mitandao ya kijamii ilikuwa haijashika hatamu, I mnalikumbuka hili tukio la huyu Jamaa Mohamed Bouaziz? Nimeamua kuandika...
7 Reactions
14 Replies
803 Views
Wazito wa JF nawasalimia, Carlos The Jackal, kwa jina la kuzaliwa anaitwa Ilich Ramirez Sanchez,alizaliwa mwaka 1949 huko Venezuela. Carlos alizaliwa katika familia inayojiweza kiuchumi,ambapo...
38 Reactions
188 Replies
50K Views
Sarafu hizi zilitumika enzi za utawala wa dola ya rumi,na hasa zilitumika katika malipo ya ngono na ulilipwa tokana na aina ya mtindo uliotumia katika uasherati.Mfano mzuri ukitazama katika movie...
9 Reactions
57 Replies
19K Views
https://youtube.com/shorts/zb2MRW5Grts?si=Dl1G32RSEUXRXMnR Subhaanallah This is mind blowing How awesomely majestic is Allah subhaanahu wa taha'la Infinitely majestic, Totally sublime...
2 Reactions
0 Replies
230 Views
NOTE: Nitapitia baadaye kurekebesha typos pole pole; ukikutana nazo usizitilie maanani. Miaka takriban 45 iliyopita, Iraq ilipitia wakati mgumu sana. Kwanza, mwaka 1979 ulikuwa na matukio mawili...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwezi Septemba, 2023 Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan alimteua aliyekuwa Rais wa chama cha walimu Leah Ulaya kuwa mkuu wa Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, hata hivyo Leah aligomea uteuzi huo wa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
MAKTABA IMEPOKEA KITABU CHA RAJABU IBRAHIM KIRAMA Rajabu Ibrahim Kirama ndiye aliyeuingiza Uislam Uchaggani kiasi cha zaidi ya miaka 150 iliyopita. Katika maajabu ya Allah alipofariki watoto...
4 Reactions
7 Replies
649 Views
Wakorea wana historia yao toka mwanzo wataifa lao kuwepo kipindi cha devine Jumong, wazungu hivyo hivyo wana story zao, mbona sisi Waafrika hatuna hadithi zetu za mwanzo, au baada wa wazungu...
12 Reactions
93 Replies
13K Views
Julius Kambarage Nyerere alikuwa Mwanasiasa na Mwanafalsafa ambaye alikuwa kiongozi wa kwanza wa Tanganyika (sasa Tanzania) na rais wa kwanza wa nchi hiyo baada ya uhuru. Alikuwa mtetezi wa uhuru...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
MWARABU "NGOSHA" ALIYEKAMATWA KWA KUSHUKIWA GAIDI https://youtu.be/VK-vpPhKonQ?si=2WDSX3HAXG-h1AQ9 Nina rafiki yangu hapa msikitini Mwarabu wazee wake wanatokea Oman kazaliwa Usukumani. Yeye ni...
1 Reactions
2 Replies
484 Views
https://www.instagram.com/reel/DLVrV_LKwvP/?igsh=ZjFkYzMzMDQzZg== Nimeangalia hii Makinikia aliyoweka Muhidin Issa Michuzi. Nimemwona Jomo Kenyatta na Julius Nyerere kwenye Land Rover wakienda...
0 Reactions
0 Replies
333 Views
MAREKANI IMETENGENEZA MPANGO WA KUMALIZA VITA VYA IRAN NA ISRAEL Baada ya saa 24 In Shaa Allah vita baina ya Iran na Israel In Shaa Allah vita kuwa vimemalizika. Vita vimedumu kwa siku 12. Hizi...
4 Reactions
8 Replies
779 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…