Jukwaa la Historia

On JF:

On December 3, 1983, a helicopter crash in central Uganda claimed the life of Obote's feared Commander, Maj. Gen. David Oyite Ojok.FRED GUWEDDEKO reports that after the crash, the Yoweri...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Tusiusikilize wimbo wa nchi kubwa duniani kuhusu demokrasia tukaja kabidhi nchi hii mafisi yakatukuta yanayowakuta misri tunisia libya iraq na kwingineko
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani mwenye historia ya huyu mdau aliyekuwa mwenyekiti Wa balaza la wazee TANU anijuze ilikuwaje mpaka akagombana na mwalimu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
.View photo Undated handout photo issued by the British Museum Friday Feb. 7, 2014 of some of the human footprints, thought to be...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hawa watu wanapotea kabisa, waliobaki ni wazee wakiwa wanahesabu siku zao tu, lakini wamefanya makubwa mno hasa kwenye upande wa uandishi wenye kufikirisha na fasihi ya ndani mno, maandiko yao...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"Thrilla in Manilla" was a 1975 boxing match between two boxing legends: Mohammed Ali and Joe Frazier. To me, these men were great fighters of that time and remain great fighters of all times in...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
NANI HAJAWAHI KUUIMBA WIMBO HUU? Kiongozi: Chama chetu cha mapinduzi cha jenga nchi! Waitikiaji: chama chetu cha mapinduzi chajenga nchi*2 Oho Chaaam - Ahaaaa Ohoo Chaama- Chajenga nchiiii
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hotuba ndefu niliyowahi kuisikiliza Tanzania ni ile ya Raisi Samora Machel aliyohutubia mwaka 1975 uwanja wa Samora Machel pale Iringa mjini alipofika kutoa shukrani kwa Tanzania kuhifadhi na...
9 Reactions
27 Replies
9K Views
mh! tazama historia ya waafrika 2metoka wapi? na thamani yetu ni nini ikiwa 2! ukipigania haki yako au ya watu basi cha mbembe utakiona basi pitia kusoma kitabu cha j'na hilo hapo juu.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Deni la Taifa ni Tshs. 27 trillion kwasasa, kutoka Tshs. 21 Trillion June 2013. Ni miezi kadhaa hata Mwaka haujaisha.. Haya ndiyo maelezo yao..
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Watu wengi wanapenda ulaji wa kuku waliopikwa kwa staili hii pasi na kujua asili yake. Mzee Robert Makange (1928-1999) Mzee huyu wengi hawamfahamu ila wanafahamu chakula chake alichokiasisi...
5 Reactions
24 Replies
17K Views
Naomba historia ya Urusi
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni muda mrefu nimekuwa nikitakujua maisha ya baba yetu wa Taifa na familia yake kwa ujumla, na hii ni kutokana na nilivyotokea kumpenda!. Siku moja nikizungumza na mzee mmoja juu ya wanafamilia...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Mwalimu alisema yafuatayo, tukatae rushwa,umaskini,udini na ukabila. Namuomba Rais Jakaya Kikwete atueleze udini katika uchaguzi wa 2010 ulikuwaje? Kwani mwaka 2005 aliposhinda kwa zaidi ya 80%...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Chama cha maccm arusha mjini wameishindwa chadema kwa kila namna matokeo yake wamekuwa wakiigiza kama zekomed wamekuwa wakitumia kila namna kumchafua rais wetu wa arusha mjini mp godbless lema...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu naombeni mjuze hivi hizi hela na mali ambazo wagermany walizifukia chini zilikuwa na maana gani na zilikuwa za ina gani kwa mfano nasikia kulikuwa na moja inatwa rupire nimeuliza hivi...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
TAARIFA KWA UMMA WA WATANZANIA 2009. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinawatangazia wanachama wote wa CHADEMA na umma wa Watanzania wapenda Maendeleo kuwa Mkutano Mkuu wa uchaguzi wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nasikia pia mwl nyerere katika kugombania uhuru alifungwa Tabora ni kweli. Wana history niambieni ni kweli.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimepata taarifa kuwa Waziri wa fedha dr Mginwa ameaga dunia mwenye habari kamili tafadhali atujulishe
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana wa jukwaa letu tamu,ninapenda nifahamishwe vizuri historia ya mwanasiasa huyu John Mnyika mbunge wa Ubungo jijini Dar-es-salaam. Tangu alipozaliwa.shule na maisha kwa ujumla. Ahsante.
0 Reactions
6 Replies
13K Views
Back
Top Bottom