Jukwaa la Historia

On JF:

Historia ya kazi na shughuli za ulinzi na usalama hapa Tanzania zilianza tangu zama za mababu zetu. Jamii nyingi zilizoishi katika maeneo mbalimbali hapa nchini zilikuwa na ulinzi wa jadi...
2 Reactions
13 Replies
4K Views
It is not a fiction we are used to like those authored by African writers; Ngugi wa Thiongo, Chinua Achebe, Ole Soyinka and other you know.. not, it is real life experience; Kitabu cha The Dark...
7 Reactions
128 Replies
41K Views
Inaelezwa kuwa alikuwa ndiye Rais aliyekuwa na elimu kubwa kuwazidi Marais wote duniani alikuwa ni Rais wa Zimbabwe, Robert Gabriel Mugabe. Mugabe alizaliwa 21 February 1924 kule Kutama, Southern...
5 Reactions
2 Replies
526 Views
SHEIKH SULEIMAN TAKADIR AKIMSINDIKIZA JULIUS NYERERE MAHAKAMANI KESI YA UCHOCHEZI 1958 Kulia wa kwanza Sheikh Suleiman Takadir Mwenyekiti wa Baraza la Wazee wa TANU, Wakili Pritt na Julius...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Buenos dias. Se trata de Estudios Historicos y Humanisticos.
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Thomas Sankara ni fupi lakini yenye nguvu, akijulikana kama "Che Guevara wa Afrika." Alikuwa rais wa Burkina Faso (hapo awali iliitwa Upper Volta) kuanzia mwaka 1983 hadi 1987. Alikumbukwa kwa...
1 Reactions
0 Replies
287 Views
Buenos dias. Se trata de Estudios Hstoricos y de Humanidades. Gracias.
1 Reactions
1 Replies
157 Views
Siongezi neno: "Mwanamke aliyetarajiwa kufungua njia kwa wanawake wengine kuwa viongozi Afrika, kwa mshangao mkubwa, amegeuka kuwa dikteta hatari, na kuweka kiwango kipya cha udikteta, kiasi cha...
2 Reactions
5 Replies
426 Views
MAJINA YAKE NA MAHALI ALIPOZALIWA Al-Allamah Shaykh: Hussein bin Mahmud bin Hussein bin Abubakar Al-Ghassany Al-shadhily Al-yashrutwiy. Babake: Shaykh Mahmud Al-Ghassany. Mamake: Mwana Mwema...
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Baada ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia, dunia ilibadilika kabisa. Mataifa yaligawanyika kati ya mabepari na wakomunisti, na vita vya silaha vikabadilika kuwa vita vya maarifa na teknolojia. Marekani...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Wapo watakaosema kuwa magereza hatari kwa vijana inaweza kuwa ni Komboinsin Juvenile Prison kutoka Burkina Faso, ama lile gereza la Gitarama ambalo kwa sasa linaitwa gereza la Muhanga kwa Kagame...
3 Reactions
2 Replies
839 Views
KALAMU YA SHAABAN ROBERT KATIKA SAUTI Vijana wamenambia, "Mzee Mohamed wewe hasa ndiye unaefaa kuwasomea watu Shaaban Robert." "Kwanini mnasema hivyo?" "Lafidhi yako inaendana na mwandishi."...
1 Reactions
4 Replies
637 Views
Kwenye story mbili tatu na mke wangu hapa (Junior huwezi elewa, namuongelea BIBi hapa) akawa ananisumulia kuhusu utawala wa waengeleza (ni reza au leza, tuachane nayo pia, sio muhimu). Watu...
0 Reactions
2 Replies
547 Views
1958 to 1961: British governor December 9, 1961 to December 9, 1962: first and only governor-general Mtanisamehe nimechomekea kizungu hapo juu kidogo
1 Reactions
1 Replies
360 Views
Naangalia picha hiyo hapo chini ya Sheikh Ponda akiwa katika mkutano wa Vijana wa Kiislam uliofanyika Chuo Cha Biashara Dodoma (CBE) mwaka wa 1988 na naangalia video za Kampeni ya Uchaguzi 2020...
15 Reactions
22 Replies
5K Views
Unajua Idi Amin? Watu wake walimuita Big Daddy, lakini maadui wake walimuita mzee wa buchani – “The Butcher”. Yaani huyu jamaa alitokea kule West Nile uganda kaskazini, Uganda, kijiji chenyewe...
0 Reactions
2 Replies
774 Views
Video hii hapo chini inaonyesha namna mtoto mweusi mwenye miaka 14 kwa jina George Stinney alivyo nyongwa. Mtoto huyu alinyongwa mnamo mwaka 1944 huko South Carolina...
9 Reactions
191 Replies
60K Views
The world's largest mounted skeleton of dinosaur discovered in Tendaguru Tanzania (1907-1913) displayed in National History Museum in Berlin, Germany. Its 13.27m tall and about 250 tonnes weight...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ni takribani Siku Tatu Polisi Morogoro Wanamshikilia Lucy SHAYO kinyume na Utaratibu wa Jeshi la Polisi. Mpelelezi wa Lucy na R.C.O wa Morogoro Wamekuwa wakizikimbia Ofisi zao kwa siku zote ili...
1 Reactions
1 Replies
614 Views
Sehemu ya kwanza - Tundu Lissu alikamatwa Aprhli 9, 2024, Mimba na kupelekwa Dar es salaamu, siku iliyofuata, Aprili 10, 2024, alishitakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Lissu alipinga...
1 Reactions
1 Replies
479 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…