Jukwaa la Historia

On JF:

HISTORIA YA VITA VYA KAGERA 1978 - 79 MAJESHI YA UGANDA YALIVYOINGIA KAGERA TUONE KWA UFUPI. MWAKA 1978, Majeshi dhalimu ya Nduli Idi Amin Dadaa wa Uganga, yalivamia Ardhi ya Tanzania, eneo la...
1 Reactions
28 Replies
23K Views
Katika utawala wa wajerumani palitokea kijana mmoja ambaye alijulikana kama Bahume, ambaye baadae alikwenda kuishi Ujerumani na kuwa muigizaji maarufu sana miaka hiyo kabla ya WWII. Inasemekana...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
"Siku ya tukio la kifo cha Sokoine mvua ilikuwa inanyesha wakati msafara wake ulipoondoka mjini Dodoma. Gari la polisi lilikuwa linaongoza msafara wake hivyo hapakuwa na wasiwasi wa usalama kwani...
3 Reactions
10 Replies
9K Views
Wamasai ni jamii ya Nilo-Hamitic walioingia Afrika Mashariki kutokea eneo la Sudan na Ethiopia. Ni mojawapo ya jamii maarufu za Ki-Nilotes zilizotapakaa katika Afrika Mashariki hasa Kenya na...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Mwenye kujua kwa undani historian ya Charles Kabeho mbuge na waziri wakati wa awamu ya rais Mwinyi
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Haiwezeki na haiingii akilini kwenye heka heka za Chaguzi karibia zote za marudio zinazoendelea nchini kila kata wagombea udiwani wa CCM wanapita bila kupingwa, kwani Upinzani wameanza kugombea...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Oct. 29,1979. Two months ago I warned about the sinister developments that were being set in motion within the Catholc Church. I said the Bolsheviks want to use the. Church in their war agains t...
1 Reactions
45 Replies
11K Views
Mapema mwezi huu, April 11,makamu wa rais Walter Mondale iliripotiwa kwamba ameondoka Washington kuzuru. Iceland, Scandinavia na Holland. Lakini,rafiki zangu,mwanaume na mwanamke ndani ya Air...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
TAAZIA: SHEIKH HASSAN MNJEJA NIMJUAYE Sheikh Hassan Mnjeja Leo katika Makaburi ya Kisutu tumemzika Sheikh Hassan Mnjeja. Nimefahamiana na Sheikh Hassan Mnjeja miaka takriban 30 iliyopita pale...
7 Reactions
21 Replies
5K Views
Julius Kambarage Nyerere (April 13, 1922 - October 14, 1999) was President of Tanzania (previously Tanganyika), from the country's founding in 1964, until his retirement in 1985. Born in...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Modern history hapa,anapouawa jimmy carter. Tafadhali mod usiziondoe hizi posting zangu. There is nothing the problem with my mind. Hawa watu wanaofanya haya mambo ni cocaine addicts. Sasa...
3 Reactions
27 Replies
6K Views
Ndugu wanabodi, Salaam! Nianze kwa kusema kwamba, nawapenda sana Wachina na naipenda sana China. Kwa historia, China si tu rafiki zetu; kwa Taifa letu la Tanzania na Bara zima la Afrika, China...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Two months ago,i revealed that a revolutionary intelligence weapon was being used by russia. I reffered to their organic robotoids. These are man-made,robot-like living creatures,perhaps best...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Wote wawili waliuliwa, Malcom X na Martin Luther King, je wakati umefika weusi waangalie upya tactical approach towards total liberation? Je tuende ng'ambo ya fikra dini kupata uwanja madhubuti...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
msikilize vyema kuanzia dakika ya 7:45. Utajua kwanini vijana wengi wa kijeruman wakatiule waliingia choo cha kike. Je hapa TZ tunajifunza nini kupitia hutuba hii.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkutano wa TANU Mnazi Mmoja, mwaka wa 1954 (Picha ya Tanganyika Information Services) Hiyo hapo juu ni picha ya Viwanja Vya Mnazi Mmoja kama ilivyokuwa katika miaka ya 1950. Nimejaribu kutambua...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
https://photos.app.goo.gl/W7kDQYs534oh4m396
1 Reactions
1 Replies
1K Views
https://photos.app.goo.gl/6uh2cPQUVCEVbeVq6
1 Reactions
0 Replies
622 Views
NINI KHASA TATIZO LA ZANZIBAR? Na Harith Ghassany Maridhiano ndio “Magna Carta”* ya Zanzibar. Maridhiano bado yamo ndani ya Katiba ya Zanzibar. Kinachokosekana ni viongozi WAPYA watakaoweza...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wadau! Naomba kujua historia ya mwanamke aliyetekwa kipindi cha ukoloni kule kusini mwa afrika na kupelekwa nchini Ufaransa kutumikishwa ngono mpaka kupelekea kifo chake. Nimesahau...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom