Jukwaa la Historia

On JF:

Svetlana Iosifovna Alliluyeva, Later known as Lana Peters, was the youngest child and only daughter of Soviet Premier Joseph Stalin and Nadezhda Alliluyeva, Stalin's second wife. Wikipedia Born...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
Idi Amin Dada alizaliwa 1923 na alifariki mwezi wa nane 2003 alikua raisi wa tatu wa Uganda, alitawala 1971 mpaka 1979. Amin alijiunga na jeshi la kikoloni la Mwingereza likitumikia Kenya na...
31 Reactions
101 Replies
44K Views
Hoja ya nani mwafrika inaonekana inawagonga sana vichwa wasomi kitu ambacho kinapelekea watu wa kawaida tusielewe kabsa juu ya dhana hii tete nikaona acha niwaletee hii hoja ukumbi janvini hapa
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Leo tujikumbushe mada hii inayovutia sana Miaka 62 baada ya yesu kristo mlima mmoja unaoitwa mount Vesuvius ulilipuka volkano na ukafukia kabisa miji minne mikubwa enzi hizo mji maarufu ukiwa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwanajeshi huyu ndie aliyejitokeza peke yake siku ya maadhimisho ya WWII kwenye Gwaride ambalo huandaliwa maalumu kwajili ya kuwaenzi, wenzake wote wameshatangulia mbele za haki, alijikuta akilia...
4 Reactions
36 Replies
9K Views
BTK ni kifupi cha Bind, Torture and Kill. Herufi hizi tatu zilikuwa zinawatia hofu kubwa wakazi wa Wichita, Kansas pale zilipotamkwa sehemu yoyote. Hizi herufi zilikuwa zikiwakilisha jina la mtu...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu! Ulimwenguni kuna viongozi wengi walioongoza mataifa ama falme mbalimbali kwa weledi na ustadi wa hali ya juu hadi kupelekea wakumbukwe daima katika mataifa yao, mabara yao na duniani kwa...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jobs in Uganda, Principal Veterinary Officer Job Title : Principal Veterinary Officer Salary Scale : U2 Reports to : District Production and Marketing Officer Responsible for : Senior Veterinary...
1 Reactions
0 Replies
840 Views
Picha hii ilipigwa mwaka 1943, wakiwa vitani, India (Vita ya pili ya dunia), hawa ni Moja ya watu muhimu sana katika uanzishwaji wa chama cha TANU. Kushoto ni Ally Sykes (17) ambaye ndiye alikuwa...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Monday, 03 October 2011 13:51 CARL Peters, Na Lawrence Kilimwiko CARL Peters, yule mjerumani tapeli mkubwa aliyewazuga machifu na kupoteza uhuru wao aliwahi kutamka kwamba, "kuwapa uhuru...
2 Reactions
25 Replies
16K Views
Rais wangu wa Muda wote alikuwa ni Jasiri Sana "kama ujasiri wa kujifunika shuka moja na nyoka"
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangu kukamilika kwa Thirty Years War (1618 - 1648) na kusainiwa kwa Westphalia Treaty mwaka 1648, Nchi za Uingereza na Ufaransa zilitawala Siasa na Uchumi wa Ulaya. Uingereza kupitia Industrial...
3 Reactions
35 Replies
5K Views
Kwa muda mrefu tulikuwa tunasikia kama simulizi kwa wazee wetu kwamba miaka ya nyuma maeneo haya ya Malema (Kilambo) kulikuwa na mbuga iliyokuwa na wanyama wengi na wa aina mbali mbali kama ilivyo...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa akili ya kawaida ni vigumu kuamini kama J. Ntatiro angehama chama cha upinzani lakini kutokana na viashiria vya chama tawala hilo halikwepeki cha kufanya sasa hivi ni kupokea tu taarifa maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
ANANDIKA Dotto Bulendu Jana wakati akitangaza majina ya wateuliwa kuwania nafasi za ubunge kupitia CCM kwa ajili ya uchaguzi mdogo, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
730 Views
HISTORIA ::: - : KABILA LA WASAFWA Mwanshinga Jr. Wasafwa ni kabila toka jamii ya wabantu wanaozungumza lugha yenye uhusiano wa moja kwa moja na kibantu yaani lugha ya kisafwa. Kwanza...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Msipotambua ukweli kwa hakika mtapata tabu sana. 1.Ni katika awamu hii tumeambiwa makinikia yetu yana thamani ya matrilioni 2.Kama haitoshi,ni watu awamu hii wakatuambia Acacia tunawadai kodi ya...
0 Reactions
1 Replies
989 Views
Ukweli kuna wakati unafikia hapa duniani inakuwa kama hujawahi kuwepo, kila binadamu ni historia baada ya kuondoka kwake, Leo nimemkumbuka sana ndugu yangu member mwenzetu wa siku nyingi hapa JF...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom