Jukwaa la Historia

On JF:

Alama ya jeshi la Warumi Jeshi hilo lilianza c.500 BC Katika kipindi cha c.500BC mpaka c. 300BC jeshi la Warumi liliongozwa kwa vita vya vidogo vilivyoambatana na maandamano ya askari. Mfumo...
7 Reactions
14 Replies
5K Views
Leopold II alitawala Congo na ilijulikana kama nchi ilikuwa mali yake binafsi, miaka ya 1835. Tofauti na ilivyokuwa South Afrika kama koloni la Uingereza Congo ilikuwa nchi huru chini ya Mfalime...
8 Reactions
30 Replies
10K Views
Habari zenu wana jamvi, Kwa muda mrefu naisikia nchi ya Jamaica lakini sijawahi kuisikia wala kujua mfumo wake wa uongozi wa kiutawala, wala kimataifa siisikii kiuongozi. Naomba mwenye kuijua hii...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi wenzangu Ni siku nyingine tena Alhamdulilah ninaendelea kupumua pumzi ya BURE ambayo bila shaka ni wajibu wangu kuitendea haki ili kesho akhera, nipate cha kujitetea mbele ya...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu sehemu nilikuta watu wakizungumza habari za Wabantu na asili ya wabantu lakini pia nikasikia habari za Hamatics group, Nilotics group na Mang'ati group nimejaribu ku google...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Kwanini Hayati Sokoine,alipewa uwaziri mkuu kutoka 1977-1980 kabla ya Cleopa D.Msuya kuwa waziri mkuu na baadae Sokoine kurudishwa katika kiti hicho cha uwaziri mkuu?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Leo tar 9 May,nchi za ulaya zinasherehekea siku ya Muungano wa nchi hizo. #HappyEuropeday
0 Reactions
1 Replies
852 Views
Wakuu, sasa hivi naangalia mechi ya CAF champions league kati ya timu za ZESCO na Mbabane Swallows mjini Ndola, Zambia. Mara kaingia mchezaji wa ZESCO kipindi cha pili akiitwa Mwanza J.. Ikaniijia...
0 Reactions
9 Replies
6K Views
1.Sheikh Abeid Amani Karume -1964-1972 2.Sheikh Mwinyi Aboud Jumbe -1972-1984 3.Ali Hassani Mwinyi-1984-1985 4.Idris Abdul Wakili -1985-1990 5.Salmin Amour -1990-2000 6.Amani Abeid...
2 Reactions
5 Replies
15K Views
Habari wadau wa vyombo vya Habari na wana taaluma ya Habari, Uzi huu ni muhimu kwa wadau wa vyombo vya habari wenye ufahamu wa historia ya vyombo vya habari kuanzia wakati wa ukoloni, baada ya...
0 Reactions
0 Replies
966 Views
Historia Milki jirani ya China Vietnam ilitawaliwa kwa karne kadhaa kutoka China. Athira ya kiutamaduni ya China ilibaki muhimu hata katika uhuru. Katika karne ya 18 nchi iliunganishwa chini...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Vijana,wazee,vikongwe na hata kina mama waliokua wameuchoka huu utawala wa mabavu wa bwana Monirich, wakiwa hawana chakula, mavazi na marazi waliamua kujikusanya siku hiyo asubuhi na kuamua...
0 Reactions
1 Replies
982 Views
Mkuu makhabithi maana yake nini? Natanguliza shukrani.watu waovu na wachafu wa matendo
2 Reactions
0 Replies
1K Views
The name Africa came into Western use through the Romans, who used the name Africa terra — "land of the Afri" (plural, or "Afer" singular) — for the northern part of the continent, as the province...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
There has always been almost no mention of women in liberation struggles across Africa. However, that does not prove their inexistence; they just do not get as much exposure. Here is Bibi Titi...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari zenu familia ya JF. Wadau mtakumbuka bara hili liliwahi kutawaliwa na viongozi wadhalimu na Madikteta wa hatari. Zaire ama Congo DRC iliwahi kutawaliwa na Mobutu Sseseseko 1965 hadi...
18 Reactions
151 Replies
28K Views
Je..? Hii philosophy ina uhusiano wowote na kupinga dini au kumpinga Mungu Duniani..? Je.. Ilianzia wapi..? Je..? Iliwezaje kusambaa Duniani Je..? Ni kwanini nchi ya Marekani waliipinga hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bhangarh ni mji wa kale ulioko huko india uliojengwa katika karne ya 17 ,,mji huu ni maarufu india na duniani kote kwa kua yaaminika , Ni the most hounted place(kwa kiswahili sijui) in...
2 Reactions
19 Replies
10K Views
Habari wanabodi! Nimeona niliweke sawa jambo hili lililohusu ukoloni Tanzania (Tanganyika) kuanzia utawala wa Kijerumani miaka ya 1880's- 1918 baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia na kisha...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Ba Kyoma mulimu?.....Nina shida jamani ...nahitaji mtu anaeweza kunielekeza wapi naeza kupata kitabu cha historia ya Wahaya.....ingekua vizuri kama kimeandikwa kwa kiingereza. Kasinge.
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Back
Top Bottom