Jukwaa la Historia

On JF:

Shajara ya Mwana Mzizima: WAJUE WANA SAIGON CLUB WA MZIZIMA Na Alhaji Abdallah Tambaza Saigon Khitma Jumapili 13 May 2018 Raia Mwema 14 - 15 May 2018 JUMA hili, shajara imeonelea ichepuke...
5 Reactions
8 Replies
5K Views
Maisha mapya yanaanza mara tu roho inapouacha mwili, yule uliyekuwa ukimuita Dear huku akisema hawezi kupata usingizi bila kulaza kichwa chake kifuani mwako, siku hiyo hata hawezi kukushika. Yule...
6 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika sehemu ambayo lugha ya asili zitapotea kwa kasi ni moshi Yaani tofauti na jamii nyingine ni nadra sana kumkuta mzazi wa kichaga akibonga na mwanae kilugha hapa nazumgumzia wazazi wa sasa...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Ilikuwa mwaka 1976- 27- june ndege ya Ufaransa A300 Airbus iliyokuwa ikitokea Israel ikapitia ugiriki Athens ilitekwa na magaidi wa Kipalestina na Ujerumani, ikiwa na abiria 254 wengi wakiwa ni...
4 Reactions
21 Replies
9K Views
Ilikuwa kipindi cha karne ya tatu dola ya kirumi ilikuwa chini ya mtawala Claudius II mtawala huyu aliamuru vijana wote wasioe bali waajiriwe katika jeshi la warumi, kwa yeye aliamini kuwa vijana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari wana JF. Leo nawaletea vijiji maarufu zaidi Tanzania bara. 1. Kolomije: Hiki kipo wilayani Misungwi mkoani Mwanza. Hiki kilijipatia umaarufu kuliko vijiji vyote tangu march 2017. Hiki ni...
4 Reactions
82 Replies
10K Views
Kwa mujibu wa historia ya Wachaga, iliyoandikwa na Stanl Kathleem mwaka 1962, kabila hilo lilikuwa na viongozi wengi, ila wachache walipata umaarufu kutokana na aina ya uongozi wao. Mwaka 1800...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Nilikua naskiliza hotuba ya Nyerere ITV kuhusu ubaguzi wa rangi, makabila, na udini, mzee alikua kichwa sana, haya ya udini alishayaona na ndo hayo yanayotokea, kuna watu (waislamu/wakristo)...
3 Reactions
31 Replies
10K Views
Shajara ya Mwana Mzizima: Historia ya Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar-es Salaam Sehemu ya Pili Na Alhaji Abdallah Tambaza JUMA lililopita katika safu hii, tulielezea historia ndefu ya eneo la...
8 Reactions
13 Replies
6K Views
Jana nikiwa matembezini nilikutana na baba mmoja raia wa Ghana. Amekuja kwa safari binafsi Tanzania. Yeye ni mwana historia lakini Alisoma pia na political economics mwanasiasa pia. Alinieleza...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
Many wars throughout human history dragged on for so many years, but not the Anglo-Zanzibar war that ended much sooner. The shortest in recorded history, the war did not even last for a day or an...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo naangalia Aljazeera kuna kipindi kinaitwa Face to Face wanawazungumzia na kuonesha mahojiano ya wanaharakati wawili maarufu wa Marekani, Martin Luther King Jr na Malcom X. Sasa...
4 Reactions
17 Replies
5K Views
Alizaliwa mwaka 1945 huko Gaza Province ambayo ndiyo Msumbiji ya sasa. Ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto sita. Baba yake ambae alikuwa mchungaji wa kanisa la Methodist, alifariki wiki...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu uhasama wa Waisrael na Wapalestina unaelezwa kwamba mnamo mwaka 1948 waisrael walivamia ardhi ya wapalestina na kuikalia kwa mabavu, inaelezwa pia waisrael walikuwa utumwani huko ulaya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Alama ya jeshi la Warumi Jeshi hilo lilianza c.500 BC Katika kipindi cha c.500BC mpaka c. 300BC jeshi la Warumi liliongozwa kwa vita vya vidogo vilivyoambatana na maandamano ya askari. Mfumo...
7 Reactions
14 Replies
5K Views
Leopold II alitawala Congo na ilijulikana kama nchi ilikuwa mali yake binafsi, miaka ya 1835. Tofauti na ilivyokuwa South Afrika kama koloni la Uingereza Congo ilikuwa nchi huru chini ya Mfalime...
8 Reactions
30 Replies
10K Views
Back
Top Bottom