Jukwaa la Historia

On JF:

Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika nasaha zake amesema historia ya Saigon Club iandikwe kwani kiandikwacho hudumu. Mufti akaendelea kusema kuwa Saigon Club ni kielelezo cha historia...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kazi zenyewe ni kusafisha, iwe kusafisha vyombo jikoni au usafi wa nyumba.
5 Reactions
3 Replies
2K Views
By Hamis Hababi. Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Vyama vya upinzani ni demokrasia na ni chachu ya kuleta maendeleo.Ni kama vile zilivyo dini mbalimbali na waumini wake.Kwa Tanzania vyama vya upinzani imekua ni uadui mkubwa na uhasama...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Makabila mengi yaliyopo Tanzania siyo ya asili ya hapa mengi yalihamia miaka ya zamani na kuweka makazi haswa kutokana ardhi hii kuwa na ardhi yenye rutuba kwaajili ya kilimo na malisho ya...
11 Reactions
62 Replies
31K Views
Wakat huo Margret Thatcher akiwa Waziri Mkuu wa Uingereza na Julius K Nyerere akiwa rais wa Tanzania.
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Lugha inayojulikana leo kama kibantu, ni lugha ya zamani sana. Kama wewe ni mbantu ukisoma maneno ya ancient Sumeria (wakati inakaliwa na watu weusi, Hamites) utashangaa kwamba unaelewa baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Naombeni kama kuna mtu anaye fahamu au mwenye historia ya watu waliokuwa wanaishi katika eneo la Engaruka Wilayani Monduli Mkoani Arusha. Wenyeji/watu waliokuwa wanahishi eneo...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
The Bunge can be a very interesting theatre for epic stories of which authors like Irving Wallace could be inspired to write best seller tantalising novels which film makers like Oliver Stone or...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
The Danube, known by various names in other languages, is Europe's second longest river, after the Volga. It is located in Central and Eastern Europe. The Danube was once a long-standing frontier...
0 Reactions
0 Replies
744 Views
Ukiachilia mbali kuwa Wilaya ya Manyoni kuna Kijiji kinaitwa Chisingisa ambapo ndio ipo alama ya kuonyesha pale ndio katikati kabisa ya Tanzania, lakini nimekutana na hichi kisa hivi karibuni...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba mwenye kukumbuka anisaidie hiyo statement aliitoa Nyerere, mwaka gani na kwenye tukio gani. Ikiwezekana na kitabu chenye quotation ya hiyo statement nitafurahi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kati ya mwaka 1330 hadi 1355 duniani kuliibuka plague au tauni kali sana maarufu kama black death. Kitabu hiki kinaelezea chanzo, madhara na matokea ya Tauni hii huko ulaya. Tauni hii inasemekana...
6 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Ninapenda kuwasilisha historia fupi ya 'double agent' Juan Pujol Garcia almaarufu 'Agent Garbo' au Alaric Arabel. Garbo ni mzaliwa wa Spain(Barcelona) katika familia ya...
11 Reactions
14 Replies
4K Views
Hivi ilikuwaje habari ya mzee Shekhe Suleiman Takadil alikuwa na nafasi gani katika kupambania uhuru wa Tanganyika
1 Reactions
23 Replies
4K Views
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Singida ni moja ya mkoa unaopatikana katika nchi ya Tanzania. Wakazi asilia wa mji huu ni Wanyaturu na Wanyiramba (habari zao tulishaandika). Mji wa singida ni moja ya maeneo yenye historia kubwa...
11 Reactions
37 Replies
21K Views
Kwa kuwa historia ya TANU na uhuru wa Tanganyika haifahamiki na wengi hii imepelekea pia kwa wanawake wanachama wa mwanzo kujiunga na TANU kupigania uhuru wa Tanganyika wengi wao hawafahamiki...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Jean Bedel Bokassa alikuwa dikteta wa CAR, alikuwa na wake 17 na watoto hamsini. Alifanywa yatima wafaransa walipomuua baba yake akiwa na miaka 6. Baada ya baba yake kufa mama yake naye...
0 Reactions
190 Replies
54K Views
Back
Top Bottom