Jukwaa la Historia

On JF:

MODS mmeondoa thread hiyo hapo juu, ambayo kuna member aliulizia. Nampa ukweli wa Gibbons Mwaikambo kwa ufupi. Hii mada hata leo ina somo kubwa. Watoto waliozaliwa majuzi hawawezi kumfahamu...
6 Reactions
66 Replies
12K Views
Asili ya neno Daladala ni jina tulilolitohoa kutoka sarafu ya Marekani, yaani, Dola. Nakumbuka kwenye miaka ya 80 mwanzoni , na katikati ya shida kubwa ya usafiri Dar, nauli za usafiri wa vibasi...
2 Reactions
9 Replies
9K Views
Ni kweli Watz. sio wajinga na wana uelewa sana. Ukiangalia mambo yenye akili wayafanyayo kibinafsi utashangaa sana. Lakini wanasiasa wanawaona hawana akili , wenye akili ni wao tuu. Wazee wawili...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Raia Mwema Jumatano 3 March, 2019 Mwaka wa 1950 uongozi wa TAA ulikuwa chini ya Dr. Vedasto Kyaruzi kama Rais na Abdulwahid Sykes akiwa Katibu na ikaundwa TAA Political Subcommittee (Kamati ya...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Daraja la Salender lilijengwa mwaka 1929 kuungunisha mji wa Dar-Es-Salaam na Oyster Bay iliyo Kaskazini ya Dar. Wakati huo iliwekwa kuwa eneo la makazi wa viongozi wa serikali. Jina la Salender...
7 Reactions
13 Replies
3K Views
Mjini Nachingwea na Comrade Samora Machell, kulia kwa Samora ni Makwaia Saloum.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wamarekani wamekataa kunza historia ya kutawaliwa na England. Walifanya ivyo ili kuwafanya watoto wao wasijione dhaifu dhidi ya waingereza. Baadhi ya mambo waliyoyabadilisha ni pamoja na kutumia...
0 Reactions
1 Replies
816 Views
Earle Seaton na Rais Nyerere baada ya uhuru Kipande cha gazeti hapo chini kinamzunguza Liwali Ahmed Saleh na Sheikh Said Chaurembo aliyekuwa Hakimu Mahkama ya Kariakoo. 1950 Sheikh Said...
7 Reactions
0 Replies
3K Views
Haya yote magum tunayopoitia leo hapa ndio yalioibuliwa na kuanza kwake Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mkutano wa TANU Mnazi Mmoja 1950s Inategemea watu watakavyoitumia dini. Dini inaweza kutumika kuwaunganisha watu na pia inaweza kutumika kuwagawa. Mikutano ya mwanzo ya TANU pale Mnazi Mmoja...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mvutano wa kimaslahi baina ya Waingereza na Wajerumani huenda ni sababu mojawapo inayofanya Tanzania isiwe na rais mprotestanti. Muingereza anahisi akipatikana rais mprotestanti kuna possibility...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Paka wanahitajika hapa dar!!! Na bei yake ni kwanzia 2M!! Ila swal linakuja hapa wanafanyia nn!!! Kuna jamaa!! kila siku anapewa order na bonus nyingi sana!!! Sasa hawa paka wanapelekwaa wap...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Elizabeth Bathory Alizaliwa Augost 7, 1560 Huko Hungary na Kufariki Augost 14, 1614 na Anatajwa Kuwa ni Mmoja Kati Wanawake Wauwaji Hatari zaidi Kuwahi Kutokea Katika Historia ya Dunia. Alikua...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir katika nasaha zake amesema historia ya Saigon Club iandikwe kwani kiandikwacho hudumu. Mufti akaendelea kusema kuwa Saigon Club ni kielelezo cha historia...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Kazi zenyewe ni kusafisha, iwe kusafisha vyombo jikoni au usafi wa nyumba.
5 Reactions
3 Replies
2K Views
By Hamis Hababi. Kijana huyu Abdul Mahmoud Omar Athuman Kagobe, (Abdu Nondo) ni mjukuu wa Omar Athuman Kagobe, ambaye ni veteran wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (1914 – 1918), na baadae alijiunga...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Vyama vya upinzani ni demokrasia na ni chachu ya kuleta maendeleo.Ni kama vile zilivyo dini mbalimbali na waumini wake.Kwa Tanzania vyama vya upinzani imekua ni uadui mkubwa na uhasama...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Makabila mengi yaliyopo Tanzania siyo ya asili ya hapa mengi yalihamia miaka ya zamani na kuweka makazi haswa kutokana ardhi hii kuwa na ardhi yenye rutuba kwaajili ya kilimo na malisho ya...
11 Reactions
62 Replies
31K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…