JEAN BEDEL BOKASSA,alizaliwa Feburuari 20 mwaka 1921 huko Afrika ya Kati,Central African Republic(CAR).
Ni mmoja wa madikteta wabaya Barani Afrika, ambaye alipinduliwa Septemba 20 mwaka 1979 na...
Let;s discuss about it. Nakuomba mwana JamiiForums utoe maoni yako; je hii ilikuwa biashara?
Kama ilikuwa bishara, nani aliyekuwa anawauza hao watumwa?
Je, njia za upatikanaji watumwa mfano...
Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika.
HISTORIA YA DUNIA NA MAMBO YAKE
Fahamu mambo muhimu yafuatayo kuhusiana na bara la Afrika.
a) Ni bara la pili kwa ukubwa duniani kwa...
Katika hali ya kawaida wengi tunategemea kupata taarifa (informations) za matukio yaliyotokea ndani ya nchi kwa wingi zaidi either social, economic au political lakini kwa hapa bongo ukisema...
Nimefuatilia zamadam ni nini youtube kumbe Kuna archives za kutosha Sana.
Sikuwa well informed kwakuwa by the time Hilo neno limebuniwa Tanzania nilikuwa italy kwa 15 yrs late Mkapa era
Nilikuwa...
THE ASSASSINATION OF THE FIRST PRESIDENT OF ZAIRE (CONGO DR) 59 YEARS AGO:
The CIA confirmed that the Assassination of Patrice Lumumba was the most important operation conducted on the African...
Picha hii na marehemu Maulid ''Chubby'' Tosiri tumepiga nyumbani kwake Magomeni Mikumi tarehe 22 October 2015 baada ya kupata taarifa kuwa hali yake haikuwa njema nami nikenda kumjulia hali ...
Kuandika historia ya ukombozi katika nchi za Kiafrika kunahitaji ujasiri mkubwa sana na sababu yake ni kuwa Afrika ina historia rasmi. Historia hii rasmi ni ile ambayo imepitishwa na kukubalika na...
Eduardo Mondlane FRELIMO Leader in Britain | Mozambican Anti-Colonial Struggle | March 1968
Published on 17 Sep 2019
Wednesday, March 6th 1968. Footage of Dr. Eduardo Mondlane (1920-1969), the...
Leo acha niondoe utata huu kwa hawa ndugu zangu wa damu,maana siku zote wamekuwa wakijiuliza kuwa "kwanini wakristo husema Yesu ni Mungu?Na tena kwanini wakristo husema Yohana mbatizaji ndiye...
Samahani wana jukwaa kuna simulizi niliwahi kuisoma ila sikumbuki niliisoma wapi.
Simulizi hiyo inahusu kanisa moja huko ulaya lenye Chumba maalum kwaajili ya Couple inayotaka kujitenga, couple...
Ujapani ni kisiwa kama vilivyo Visiwa vyote Duniani wakazi wake walihamia ktk Bara, sasa ukiangalia utaona kwamba hakuna miujiza, ukitaka kujua mafanikio ya mtu angalia alipotoka.
Wajapani...
Habari wakuu
Wananchi wa Tanzania wameguswana sana na kifo cha Sultan Qaboos bin Al Said,Pia viongozi wametoa pole katika mitandao ya kijamii na wakati akiumwa wananchi wengi walimuombea apone...
Na Bwa. Godfrey.
Miaka a 1960 Kampuni ya Toyota ilianza kutengeneza magari aina ya TOYOTA MARK II or Two, iliendelea kutengeneza magari hayo mpk 2002 ikaona iachane nayo na kutengeneza magari ya...
KISA CHA ALLY SYKES, DENIS PHOMBEAH NA KENNETH KAUNDA
TANGANYIKA NA MKUTANO WA WAPIGANIA UHURU KUSINI YA SAHARA 1953
SEHEMU YA PILI
Trevor Huddleston
Ally Sykes na Denis Phombeah walipoingia...
By: Nadishi Ghali
It was 1945, in the final hours of the WWII.
The Nazis were losing ground, and the fate of Germany had been decided.
But if you walked through the streets of Berlin, you...
'The Black Man's Trilogy; A biographical portrait of Kenya's first President Jomo Kenyatta and a case study of the "pitfall's of nationalism" as a political force in Africa narrated by Keefe...
Shajara ya Mwana Mzizima
Jumbe Muhammad Tambaza
Alimsomea Dua Nyerere, Nyota Yake Ikang’ara
Na Alhaji Abdallah Tambaza
Jumbe Muhammad Tambaza
JUMBE Muhammad Tambaza, ni mmoja katika wapigania...
HISTORIA YA MAPINDUZI UNAPOIELEZA CHUKUA NA TAHADHARI KIDOGO
Ukiwa mwandishi watu wengi wanakujua bila wewe hata kukutana nao hata siku moja.
Siku moja nilikuwa Dubai kitongoji cha Rashidiyya na...
Siku kama ya leo (January 9) mwaka 2007, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Apple marehemu Steve Jobs aliitambulisha simu ya kwanza aina ya iPhone (1st Generation)
Wazo la simu hiyo lilimjia Steve mwaka...