Jukwaa la Historia

On JF:

PICHA YA ALLY SYKES BADALA YA ABBAS SYKES PICHA YA SAID CHAMWENYEWE ''HAJULIKANI.'' Siku moja nadhani katika miaka ya 1980 nimemtembelea Ally Sykes ofisini kwake akaitisha file kutoka kwa katibu...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
NA COMRADE Leonard Waziri Nancy Pelosi ni mama wa watoto watano mwenye damu ya Kiitaliano aliyezaliwa na kukulia kwenye familia yenye misingi ya kisiasa. Baba yake mzazi mzee Thomas D'Alesandro...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu, Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni. Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Malkia Elizabeth II ambaye alizaliwa Aprili 21, 1926 anatajwa kuwa mtawala aliyetawala kwa muda mrefu tangu alipochukua nafasi hiyo Februari 9, 1952 kutoka kwa baba yake Mfalme George VI. Malkia...
6 Reactions
76 Replies
15K Views
KHITMA YA IDDI SIMBA ILIPOMREJESHA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR KATIKA FIKRA Inaweza sasa kufika zaidi ya miaka 30 siku tulipokuwa tumesimama nje ya Msikiti wa Manyema tukizungumza historia ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwanza nimshukuru sana sana sana mwana JF mwenzetu Shwari aliyeleta makala hii. Nimeona niiweke makala hii hapa katika "sebule" ya JF ili ipate wasomaji wengi zaidi. Eduardo Mondlane alikuwa...
17 Reactions
25 Replies
11K Views
Hadithi ya Mwanamke wa Yoruba Ambaye Aliongoza Mapinduzi Mnamo 1844 Ili Kuweka Watumwa huru Cuba. Miaka ya 1800, Amerika na Ulaya, ni enzi ya shauku na yenye shughuli nyingi, ambayo ilijazwa na...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Well here again, German East Africa, or Tanganyka: it is the only non-British territory on the easiest way from South Africa to the Mediterranean. It was one of the tensions leading to WW1, since...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ilikuwa nyumbani kwa Hamza Mwapachu miezi ya mwanzo ya mwaka wa 1953. Abdul Sykes akifuatana na Ali Mwinyi Tambwe katibu wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika alikwenda Nansio, Ukerewe kupata...
6 Reactions
35 Replies
7K Views
ALIYETUMIKA KUMNG'OA MWANAMAJUMUI NA MUASISI WA TAIFA LA INDONESIA CHIEF SURKANO BY LUGETE MUSSA LUGETE Tunapozungumzia uongozi wa kimkakati tunamaanisha mpango wa maendeleo wa mda mrefu wenye...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Umoja wa nchi huru za Afrika ndio kimbilio na tegemeo la kutatua changamoto mbalimbali za Afrika ikiwemo vita, ukame, njaa, maradhi na viashilia vya uvunjifu wa amani na ustaraabu wa maisha ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Dr. Robert Ouko alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya. Alipopotea usiku wa tarehe 12 mwezi wa 2 mwaka 1990. Ouko alipotea akiwa katika shamba lake lililoko huko Koru karibu na Muhoroni...
6 Reactions
30 Replies
9K Views
Ninatambua kuwa jina la Kamzu Banda si geni miongoni mwetu hasa kwa wale wana historia. Leo nitajaribu kumuelezea kinagaubaga huyu mfalume wa Nyasa land na Malawi ya leo. Ni wazi kuwa ukisoma...
6 Reactions
14 Replies
7K Views
Steve Jobs ni mfanyabiashara, mwekezaji, na mgunduzi wa kampuni kubwa dunia ya APPLE na alizaliwa mnamo February 24, 1955 huko San Francisco, California nchini Marekani ambapo "aliasiliwa"(...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Alikuwa karani na mtoza ushuru wakati wa Ukoloni. Akanunua Lori akawa anasafirisha vifaa vya ujenzi. TANU ilipoanzishwa John Rupia akawa muweka hazina wa kwanza. Alisema”TANU haikuwa na Pesa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanamama Oummilkheir Hamidou baada ya kufanya utumishi kwa miaka 42 hatimaye leo anastaafu rasmi Idhaa ya Kiswahili ya DW Bonn. Tofauti na unavyofikiria sio kwamba anaenda kijijini kulima la...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu hapa nitawaletea matukio yote muhimu wakati wa vita hii ya Kagera. Sio kama mimi ndiye niliyeandika la hasha! Ninachokifanya mie ni kuwaletea hapa kutoka Gazeti la Mwananchi. Kaa nami upate...
18 Reactions
82 Replies
38K Views
Tarehe 2 January mwaka 1845, mwanadada Mary Moffat alifunga ndoa na kijana David katika harusi iliyofanyika huko nchini Afrika Kusini. Mary ni mtoto wa kwanza kati ya watoto kumi wa mzee Robert...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
HALI YA SIASA ILIKUWAJE TANGANYIKA WAKATI INAUNDWA TANU NA HALI YA SIASA ILIKUWAJE TANZANIA WAKATI INAASISIWA CCM? Sikujua kama CCM iliasisiwa jana tarehe 5 Februari, 1977 hadi niliposoma kwenye...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamhuri ya Madagascar ni nchi ya visiwa (island country) vidogo na vikubwa vinavyopatikana katika bahari ya Hindi vikiwa na ukubwa wa square mita 228,900. Madagascar ni nchi ya kisiwa namba mbili...
4 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom