IPhone (Apple)

Super Villain

JF-Expert Member
Jan 2, 2019
9,390
21,040
Siku kama ya leo (January 9) mwaka 2007, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Apple marehemu Steve Jobs aliitambulisha simu ya kwanza aina ya iPhone (1st Generation)

Wazo la simu hiyo lilimjia Steve mwaka 2005 na ilimchukua miaka 2 kulikamilisha wazo hilo. Simu hiyo iliingia sokoni rasmi June 29, 2007 na kuuzwa ($499) kwa yenye muundo wa 4G na ($599) kwa yenye muundo wa 8G na zote zilikuwa na mkataba wa miaka 2.

Maelfu ya watu walikusanyika kwenye maduka ya Apple na AT&T siku moja kabla. Askari wenye silaha walichukuliwa kwa ajili ya kulinda usalama wa maduka hayo.
info_hd-20200109-0001.jpeg
 
8G?,sisi bado tunahangaika na 4G
Siku kama ya leo (January 9) mwaka 2007, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Apple marehemu Steve Jobs aliitambulisha simu ya kwanza aina ya iPhone (1st Generation)

Wazo la simu hiyo lilimjia Steve mwaka 2005 na ilimchukua miaka 2 kulikamilisha wazo hilo. Simu hiyo iliingia sokoni rasmi June 29, 2007 na kuuzwa ($499) kwa yenye muundo wa 4G na ($599) kwa yenye muundo wa 8G na zote zilikuwa na mkataba wa miaka 2.

Maelfu ya watu walikusanyika kwenye maduka ya Apple na AT&T siku moja kabla. Askari wenye silaha walichukuliwa kwa ajili ya kulinda usalama wa maduka hayo.View attachment 1317432

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SE, 5c hata hizi latest za double dual sim hakuna bongo.
5c nishamiliki
Halafu ishu sio hyo ukiichek iyo SE ni kama 5 tu
Ishu ni kuwa iPhone zinafanana Sana halafu hamna kitu revolutionary wamefanya kama walivofanya Kwenye iPhone first generation...walichobakiza tu ni kukopi saivi Samsung,oppo,n.k
 
Hiyo SE unaijua? ulishawahi kuona hata baadhi ya maduka wanauza hata? Na iPhone za line mbili?
5c nishamiliki
Halafu ishu sio hyo ukiichek iyo SE ni kama 5 tu
Ishu ni kuwa iPhone zinafanana Sana halafu hamna kitu revolutionary wamefanya kama walivofanya Kwenye iPhone first generation...walichobakiza tu ni kukopi saivi Samsung,oppo,n.k
 
Iphone kinachofanya watu wazipende ni hii protection yao tu hakuna kingine mfano mm huwa napenda sana Android kuna vitu inanipa kushinda iPhone.
 
Hivi iphone yenye 8G ilishawahi kuwepo kumbe!?

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom