Wajapani walitokea Uchina, Waingereza walitoka Ujerumani!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Ujapani ni kisiwa kama vilivyo Visiwa vyote Duniani wakazi wake walihamia ktk Bara, sasa ukiangalia utaona kwamba hakuna miujiza, ukitaka kujua mafanikio ya mtu angalia alipotoka.
Wajapani walitokea Uchina!

Leo hii nchi zote za Asia zinazofanya vizuri kiuchumi ni shauri ya Wahamiaji wa Kichina, kuanzia Singapore, Taiwani, Malaysia, mpaka Indonesia ni Wahamiaji wa Kichina ndo wanaoendesha nchi!

Kwa mfano Indonesia, Wachina wako 3% lkn wanamiliki 70% ya Uchumi wa Indonesia, Singapore ni hivyo hivyo!

Waingereza (English people) asili yao ni Ujerumani, hata lugha yao ni dada wa Kijerumani, sasa angalia nchi walikotoka ilipo kiuchumi, teknolojia na Sayansi na vile vile nchi walioijenga ya Uingereza!

Hivyo Maendeleo yanatokana na Utamaduni wa watu na siyo kuiga sijui demokrasia mara Katiba, utamaliza Katiba zote Duniani na bado utabakia hapo hapo tu!
Angalia Kenya, kwa nini hawajawa kama AK ?

Jiulize kwa nini Mexiko siyo kama USA au Kanada? Au kwa nini Urusi siyo tajiri kama Ujerumani?
 
Du, ipo vizuri sasa kuna shida gani demokrasia kutamalaki? Na kama haitakiwi si itangazwe tujue moja tuwe kama wajapani! Na vipi wauonaje utamaduni wetu! Demokrasia inaharibu utamaduni wetu? Kwamba sasa ni kipindi cha kuweka demokrasia pembeni hadi wakati muafaka?
 
Mada ilianza vizuri halafu ikapotea. Nilitegemea imalizie kuwa Oman ina uchumi mzuri kwa sababu wakazi wake wanatokea Zanzibar
 
Back
Top Bottom