Jukwaa la Historia

On JF:

Umuhimu wa Tanzania strategically: 1) Ni nchi muhimu kwa waarabu (Misri na Sudan Kaskazini) kwasababu sehemu kubwa ya ziwa Victoria iko TZ na sehemu kubwa ya maji ya mto Nile yanategemea ziwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
UMUHIMU WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA SYKES KATIKA KUIJUA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE, TAA NA TANU (2) Ndani ya nyaraka hizi nikasoma historia ya Kasella Bantu katika ujana wake akiwa masomoni...
3 Reactions
1 Replies
2K Views
UMUHIMU WA KUMBUKUMBU NA NYARAKA ZA SYKES KATIKA KUIJUA HISTORIA YA MWALIMU NYERERE, TAA NA TANU 1 Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika hotuba yake maarufu ya kuwaaga wazee wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
MSIKITI WA MFALME MOHAMED WA SITA Naangalia picha ya msikiti uliojengwa ndani ya viwanja vya Kinondoni Muslim School akili yangu inarudi nyuma hadi miezi ya mwisho ya mwaka wa 1968. Mwaka wa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
HATUJACHELEWA KUIWEKA SAWA HISTORIA YA TANU NA UHURU WA TANGANYIKA Hiyo picha hapo chini ni 1955/56 Dodoma Railway Station kushoto ni Iddi Faiz Mafungo, Sheikh Mohamed Ramiya, Julius Nyerere...
8 Reactions
55 Replies
6K Views
Mwaka 1952 Bunge dhalimu na la kibaguzi lililokua chini ya Makaburu Afrika kusini lilipitisha sheria ya kibaguzi, sheria hiyo iliyomtaka kila mtu Mweusi kuwa na kitambulisho kilichopewa jina la...
6 Reactions
4 Replies
3K Views
1. John F Kennedy 1963 2. Martin Luther King 1968 3. Patrick Lumumba 1961 4. Malcolm X 1968 5. Robert Kennedy 1968 6. Tom Mboya 1969 7. Gama Pinto 1965. Miaka ya 60's ilitokea mauaji ya viongozi...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
TANU and the Chagga People: In the local field of Chagga politics, however the break came earlier. It did not come from TANU branches as such which, though they had started in 1955 on the...
0 Reactions
32 Replies
14K Views
Jina lake halisi lilikuwa Johnstone Kamau wa Ngengi. Alipewa jina la utani ambalo ni Mkuki wa Moto (Burning Spear). Jina la Kenyatta lilitokana na mkanda aliopenda kuuvaa ambao ulitengenezwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
MWAKA MPYA 2020 NA KITABU KIPYA ‘’THE SCHOOL TRIP TO ZANZIBAR’’ Na Mohamed Said Tunauanza mwaka mpya kwa kuingiza kitabu kipya nchini katika orodha ya vitabu vilivyoandikwa na Watanzania...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Yaa Nana Asantewaa anajulikana sana kwa mchango wake wa kishujaa katika vita vya Kiti cha Dhahabu. Alikuwa mwanamke mwenye nguvu, na ujasiri wa kufanya yale aliyoyaona kwake sawa. Yaa Asantewaa...
2 Reactions
10 Replies
4K Views
NOVEMBER 14, 2012 Baba wa taifa hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere [1922-1999] HAYA NI MAMBO 11 ALIYOYAPINGA BABA WA TAIFA-MWL. NYERERE Ni miaka kumi na tatu sasa imepita tangu mzee wetu...
3 Reactions
11 Replies
43K Views
Robert Mangaliso Sobukwe alizaliwa mjini Graaff-Reinet, Eastern Cape Province nchini Afrika ya Kusini mwaka 1924. Alijiunga na siasa za ANC mwaka 1948. Baada ya kuhitimu shahada ya kwanza katika...
4 Reactions
10 Replies
5K Views
Hayati Rajab Mbhano alikuwa Mbunge wa wakati huo Kigoma mjini, Mh. Chrisant Mzindakaya ndo alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kipindi hicho. Nasikia walikorofishana na kutishiana na baada ya muda...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
PICHA YA ALLY SYKES BADALA YA ABBAS SYKES PICHA YA SAID CHAMWENYEWE ''HAJULIKANI.'' Siku moja nadhani katika miaka ya 1980 nimemtembelea Ally Sykes ofisini kwake akaitisha file kutoka kwa katibu...
5 Reactions
5 Replies
4K Views
NA COMRADE Leonard Waziri Nancy Pelosi ni mama wa watoto watano mwenye damu ya Kiitaliano aliyezaliwa na kukulia kwenye familia yenye misingi ya kisiasa. Baba yake mzazi mzee Thomas D'Alesandro...
6 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari zenu, Je, kwa bahati nzuri nani anayo sauti ya Sokoine akitangaza sheria ya nguvu kazi ya 1983 bungeni. Nahitaji sauti ya hii hotuba. Kwa aliyekuwa nayo kuna kipooza koo.
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Malkia Elizabeth II ambaye alizaliwa Aprili 21, 1926 anatajwa kuwa mtawala aliyetawala kwa muda mrefu tangu alipochukua nafasi hiyo Februari 9, 1952 kutoka kwa baba yake Mfalme George VI. Malkia...
6 Reactions
76 Replies
15K Views
KHITMA YA IDDI SIMBA ILIPOMREJESHA MUFTI SHEIKH HASSAN BIN AMEIR KATIKA FIKRA Inaweza sasa kufika zaidi ya miaka 30 siku tulipokuwa tumesimama nje ya Msikiti wa Manyema tukizungumza historia ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwanza nimshukuru sana sana sana mwana JF mwenzetu Shwari aliyeleta makala hii. Nimeona niiweke makala hii hapa katika "sebule" ya JF ili ipate wasomaji wengi zaidi. Eduardo Mondlane alikuwa...
17 Reactions
25 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…